kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Igunga Kujenga barabara zinazounganisha Kata kwa Kata

    MBUNGE NGASSA: "TUNATENGENEZA BARABARA ZA KUUNGANISHA KATA NA KATA KWA AJILI YA KUFUNGUA UCHUMI WA VIJIJINI" "... Mwaka huu wa Fedha Tumeweka msisitizo kutengeneza Barabara zinazounganisha Kata Moja kwenda Kata ingine kwa lengo la kufungua na kukuza uchumi wa vijiji vyetu..." ".... Dunia ina...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujenga Madarasa Mapya kila mwaka sio suluhisho kwenye Elimu ya Secondary

    Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ndejembi ataka Maeneo ya kujenga Shule yatengwe kukidhi mahitaji

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema kuna ulazima wa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kukidhi mahitaji yanayotokana na ongezeko la wanafunzi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto wa wanafunzi kutembea umbali mrefu. Mhe...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  5. Hotuba za Mnyonge

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania #FIFAfrica23: Muongo mmoja wa kujenga jumuiya ya Kuchagiza Haki za Kidigitali Barani Afrika!

    Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023. Mwaka huu...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Chuo cha TIA Mkoa wa Kigoma

    MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
  9. Street brain

    JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi (BRT) msiishie kujenga barabara tu

    Usafiri wa mwendo wa haraka ni jambo jema kwa uchumi kwakuwa unapunguza muda wa kukaa njiani na kuongeza muda wa kufanya kazi kwa siku, wiki, mwezi na mwaka. Pamoja na kazi na kasi hii ya kujenga usafiri wa haraka lakini lazima ujenzi huu uzingatie pia kujenga vituo vikubwa vya kuegesha magari...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupunguza Umaskini: Njia ya Kujenga Mustakabali Bora kwa Taifa

    KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
  14. Beberu

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga Chumba sebule

    Wakuu, Naombeni msaada, hivi kujenga Nyumba ya chumba kimoja, sebule na jiko, inaweza tumia kiasi gani? Nipo Dar mimi, kiwanja tayari kipo.
  15. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC na JMAT kuandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi Kujifunza na Kukua kiutendaji

    UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya superbeings UTANGULIZI Mada yangu ni "Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
Back
Top Bottom