Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea.
Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa.
Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
"Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata ya Ngara Mjini, Kanazi, Kidimba, Nyamiaga na Murukurazo" - Mhe. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri...
Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions).
Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania.
Ujumbe...
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA FORODHA KAKOZI, MOMBA
"Je, kuna mpango gani wa kuweka kituo cha forodha Kakozi, Momba ili kuunga mkono jitihada za kujenga Soko la Mazao la Kimataifa?" - Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba
"Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania ina...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia.
Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
Ujenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika hospitali ya Mloganzila unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka 2023 ambapo utagharimu Sh30 bilioni, mpaka kukamilika kwake.
Kimsingi jengo hilo jipya, litafanana nan a jengo la sasa ambalo lipo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
Hii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini...
Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho...
Habari zenu,
Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha.
Namaanisha mikoa yenye good return in investment.
Asanteni
Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi.
Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.
Hii ni...
Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?
Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!
Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
Habari wa ndugu wa tanzania??
Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI
Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri Innocent Bashungwa alifanya ziara ya kikazi Musoma Vijijini kwa lengo la kuwatoa wasiwasi wananchi...
India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
KIJIJI CHA KWIKEREGE CHAAMUA KUJENGA ZAHANATI YAKE
Kijiji cha Kwikerege ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Musanja.
Kijiji hiki hakina zahanati, kwa hiyo wakazi wake wanapohitaji Huduma za Afya wanalazimika kutembea umbali usiopungua kilomita tano (5) kwenda kwenye Zahanati ya Kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.