Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,264
Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions).

Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu simple wa zamani ulikuwa mzuri sana.

Hizi McMansions na wanavyozichamba.

1699119232939.png


1699121635105.png

1699122475591.png

Naona sisi tumeamua kujenga vi MiniMcMansions.
1699121985567.jpeg


1699122075339.jpeg

1699122242492.jpeg

1699122287944.png
 
Wana haki ya kuziponda, ni poor mansions kweli, maana haijafikia kuitwa mansion.
Ila sie huku kwetu kibongo bongo kupata kibanda kama hicho ni umetoboa kichizi, maana gharama za ujenzi hazijalegea.
Let us say umetumia kujenga kati ya milioni 70-100 hapo si mchezo kwa kwetu ila kwa kwao pesa hiyo ni ya madafu kweli kweli, huwezi pata nyumba kizembe hivyo.
 
Back
Top Bottom