Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

Nyafwili

JF-Expert Member
Nov 27, 2023
2,774
6,885
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine. Sheria za Tanzania haziruhusu ushoga na hii imeainishwa katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16.( je sheria hii inafanya kazi hapa Tanzania?)

1. UTANGULIZI
• Ushoga ni hali ya kuwa na mapenzi au uhusiano wa kimapenzi kati ya watu wa jinsia moja. Neno hilo mara nyingi linahusiana na mapenzi ya kimapenzi na mahusiano ya kijinsia kati ya watu wa jinsia moja.

MADHARA YA USHOGA
• Maadili na miiko : Ushoga ni kinyume na imani zetu za kidini au maadili ya kitamaduni pamoja na miiko ya kitanzania.

• Upinzani wa Kijamii : mwelekeo wa ushoga kukabiliana na ubaguzi au upinzani wa kijamii kutoka kwa watu wengine, ikiwa ni pamoja na familia au marafiki.

• Unyanyapaa : Ushoga unasababisha unyanyapaa na ubaguzi, na hivyo kuwa na athari mbaya kwa afya ya akili na ustawi wa kijamii wa watu wanaojitambulisha na ushoga.

• Mazingira Hatarishi : Kwa sababu ya ubaguzi unaoweza kutokea, mashoga lazima watajikuta katika mazingira hatari au kujitenga kutoka kwa familia na jamii zao.

• Athari kwa Familia : kwamba mahusiano ya ushoga kuathiri muundo wa familia na kuleta changamoto kwa jinsi familia inavyopaswa kuendeshwa.

• Kuenea kwa Maradhi : Ushoga ni njia rahisi sana kuhusu usambazaji wa magonjwa, hasa virusi vya UKIMWI, Magonjwa ya INI, Kaswendwe na N.K.

• Kukosa nguvu kazi : Mtu akijihushisha na masuala ya ushoga, Kwa kadiri makundi ya mashoga yanavyoimarika katika nchi yoyote, ndivyo hivyo nchi inapungukiwa na uzao wa watoto.

•Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, Kimsingi, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine. Sheria za Tanzania haziruhusu ushoga na hii imeainishwa katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16.

2. UTANGULIZI
• Matumizi ya bangi yamekuwa suala la mjadala duniani kote, na napendekeza kuangalia upya sera zetu kuhusu suala hili. Hoja hii inalenga kuchunguza faida za kuruhusu matumizi ya bangi kwa njia inayodhibitiwa na kuchangia mjadala wa kimataifa kuhusu suala hili.

• Muhtasari wa Hoja : Ninaamini kuruhusu matumizi ya bangi kunaweza kuwa na faida za kijamii, kiuchumi, na afya. Pamoja na udhibiti mzuri, tunaweza kufaidika kutokana na sekta hii na kupunguza athari mbaya zinazoweza kutokea.

• Athari za Kijamii : Kuruhusu matumizi ya bangi kunaweza kupunguza msongamano wa mahakama na magereza kwa kuondoa mashtaka yanayohusiana na bangi. Hii itawezesha mfumo wa sheria kuzingatia zaidi masuala mengine muhimu na kupunguza gharama za kuhifadhi wafungwa.

• Athari za Kiuchumi : Sekta ya bangi inaweza kutoa fursa za ajira na mapato ya kodi. Kupitia udhibiti wa serikali, tunaweza kuhakikisha kwamba mapato yanatumika kwa faida ya jamii, kama vile katika elimu na huduma za afya.

• Afya na Usalama : Kwa kudhibiti matumizi, tunaweza kupunguza athari za kiafya zinazohusiana na matumizi mabaya ya bangi. Mifano kutoka nchi zingine zinaonyesha kwamba matumizi yanaweza kusimamiwa vizuri na kutoa faida za matibabu.

• Sheria na Udhibiti : Ninaunga mkono mfumo wa sheria na udhibiti unaolenga kuhakikisha usalama wa umma na kuzuia matumizi mabaya. Kwa mfano, kuanzisha umri wa kisheria wa kununua na kutumia bangi na kudhibiti uzalishaji na usambazaji.

• Ushahidi wa Kuthibitisha : Uchunguzi wa kimataifa unaonyesha kwamba nchi zilizoruhusu matumizi ya bangi zimefaidika kiuchumi na kijamii. Pia, tafiti zinaonyesha kwamba mbinu za udhibiti zinaweza kupunguza matumizi mabaya na athari za kiafya.

• Kushughulikia Maswali na Wasiwasi : Tunapaswa kushughulikia maswali na wasiwasi kuhusu athari za kiafya, usalama barabarani, na athari kwa vijana. Kupitia elimu na mbinu madhubuti za udhibiti, tunaweza kupunguza hatari hizi.

• Hitimisho:
Kuruhusu matumizi ya bangi kwa njia inayodhibitiwa kutaleta manufaa kwa jamii yetu. Ni wakati wa kufikiria upya sera zetu na kuanzisha mfumo unaoweza kuleta faida na kudhibiti athari mbaya,
(a) Matumizi sahihi ya bangi yanaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kisheria na kiutamaduni wa eneo fulani. Hata hivyo, hapa kuna miongozo kadhaa ya jumla:-

• Matumizi ya Matibabu : Baadhi ya maeneo yanaruhusu matumizi ya bangi kwa madhumuni ya matibabu. Katika hali hizi, watu wanaweza kupata idhini kutoka kwa wataalamu wa afya na kutumia bangi kama sehemu ya matibabu kwa hali fulani.

• Matumizi ya Burudani Kulingana na Sheria : Katika nchi au majimbo ambayo yanaruhusu matumizi ya bangi kwa madhumuni ya burudani, watu wanapaswa kufuata sheria zinazohusiana na umri wa matumizi na kiasi kilichoruhusiwa.

• Matumizi Kwa Kuzingatia Afya ya Akili : Watu wanapaswa kuwa waangalifu na matumizi ya bangi na kuzingatia athari za afya ya akili. Kama ilivyo kwa vitu vyovyote, matumizi yanayofaa yanaweza kumaanisha matumizi ya wastani na yenye busara.

• Kuepuka Kuvuta Pamoja na Dawa Nyingine : Ni muhimu kuepuka kuchanganya bangi na dawa nyingine au pombe, kwani inaweza kuongeza hatari za athari mbaya.

• Kufuata Sheria za Usafiri : Watu wanapaswa kuzingatia sheria za usafiri zinazohusiana na matumizi ya bangi, hasa linapokuja suala la kuendesha gari au kufanya shughuli zinazohitaji umakini.

…… Kwa mfano, nchi kama Canada, Uruguay, na baadhi ya majimbo nchini Marekani zimeruhusu matumizi ya bangi kwa matumizi ya burudani au dawa kwa mujibu wa sheria zilizowekwa. Hakuna madai yaliyotolewa kuhusu nchi za Uruguay na Canada kutowapa watu wao afya ya akili.

(b) Nchini Tanzania, matumizi, umiliki, au uuzaji wa bangi ni kinyume cha sheria. Sheria za Tanzania haziruhusu matumizi au biashara ya dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na bangi. Kukiuka sheria hizi kunaweza kusababisha adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kifungo.

Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Namba 5 ya Mwaka 2015 ya Tanzania inaeleza kwa kina juu ya udhibiti na adhabu kuhusiana na matumizi, biashara, na umiliki wa dawa za kulevya, ikiwemo bangi:-

• Ushiriki katika Shughuli za Dawa za Kulevya : Sheria inafanya kuwa kosa kushiriki katika uzalishaji, usambazaji, na biashara ya dawa za kulevya.

• Ukamataji na Adhabu : Sheria inaweka utaratibu wa ukamataji, uchunguzi, na adhabu kwa wale wanaohusika na dawa za kulevya. Adhabu inaweza kujumuisha faini kubwa au kifungo gerezani.

• Mali Inayohusiana na Dawa za Kulevya : Sheria inatoa mamlaka ya kuamuru kutaifisha mali zinazohusiana na uhalifu wa dawa za kulevya.

• Tiba na Kurekebisha : Sheria inatoa nafasi kwa watu wanaopatikana na hatia kutibiwa na kurekebishwa.

• Ulinzi wa Vyombo vya Usalama : Inatoa mamlaka kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kudhibiti dawa za kulevya.

3. PENDEKEZO
Kufatitia sheria ya kupambana na dawa za kulevya(bangi) namba 5 ya mwaka 2015 ya Tanzania, pamoja na Sheria ya Tanzania kuhusu upingaji wa ushoga, katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16. Nashauri zibadilishwe ili ijikite zaidi katika upambanaji wa masuala ya USHOGA.

Pia soma;

Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

Kassim Majaliwa: Bangi ya 'Cha Arusha' pamoja na 'Skanka' inafanya watumiaji kuwa vichaa

Serikali iruhusu kilimo cha bangi na ipunguze masharti ya uingizaji wa fedha nchini ili kukabili uhaba wa dola
 
Nashauri ushoga uendelee kuwepo ili kulinda faida zifuatazo:

1. Utamu wa kukalia mua. Hii inaongeza tija na ubora.

2. Ongezeko la akili Kichwani. Ushahidi wa kisayansi wa chuo cha Havard unaonesha kwamba ukaliaji wa miwa unazidisha akili maradufu.

3. Ongezeko la uchumi wa nchi. Mabwabwa wa ulaya wanaleta fedha nchini kwa ajili ya utalii na kukuza PATO 😋😋

4. Utunzaji na uimarishaji wa miwa. Miwa inatakiwa kutunzwa ili isikae bila kazi. Matumizi ya kinyeo yanaimarisha zaidi miwa.

Kwako mwenyekiti. Naomba kuwasilisha.
 
BANGI IENDELEE KUPIGWA MARUFUKU OVA!!
Kuna jamaa yangu alikuwa na akili sana tukiwa form6 alikuwa kichaa kwaajili ya bangi, alikuwa mkali wa Kemia sijawahi ona,
. Hiyo siyo sababu ya kuzuia matumizi ya bangi, mbona nchi nyingine zinatumia bangi lakini siyo vichaa,,??
 
Nashauri ushoga uendelee kuwepo ili kulinda faida zifuatazo:

1. Utamu wa kukalia mua. Hii inaongeza tija na ubora.

2. Ongezeko la akili Kichwani. Ushahidi wa kisayansi wa chuo cha Havard unaonesha kwamba ukaliaji wa miwa unazidisha akili maradufu.

3. Ongezeko la uchumi wa nchi. Mabwabwa wa ulaya wanaleta fedha nchini kwa ajili ya utalii na kukuza PATO 😋😋

4. Utunzaji na uimarishaji wa miwa. Miwa inatakiwa kutunzwa ili isikae bila kazi. Matumizi ya kinyeo yanaimarisha zaidi miwa.

Kwako mwenyekiti. Naomba kuwasilisha.
Kwa hiyo tayari umesha kua shoga??, 😥, matumizi ya LOMBO ndani ya NDUKU umeyajuaje?
 
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine. Sheria za Tanzania haziruhusu ushoga na hii imeainishwa katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16.( je sheria hii inafanya kazi hapa Tanzania?)

1. UTANGULIZI
• Ushoga ni hali ya kuwa na mapenzi au uhusiano wa kimapenzi kati ya watu wa jinsia moja. Neno hilo mara nyingi linahusiana na mapenzi ya kimapenzi na mahusiano ya kijinsia kati ya watu wa jinsia moja.

MADHARA YA USHOGA
• Maadili na miiko : Ushoga ni kinyume na imani zetu za kidini au maadili ya kitamaduni pamoja na miiko ya kitanzania.

• Upinzani wa Kijamii : mwelekeo wa ushoga kukabiliana na ubaguzi au upinzani wa kijamii kutoka kwa watu wengine, ikiwa ni pamoja na familia au marafiki.

• Unyanyapaa : Ushoga unasababisha unyanyapaa na ubaguzi, na hivyo kuwa na athari mbaya kwa afya ya akili na ustawi wa kijamii wa watu wanaojitambulisha na ushoga.

• Mazingira Hatarishi : Kwa sababu ya ubaguzi unaoweza kutokea, mashoga lazima watajikuta katika mazingira hatari au kujitenga kutoka kwa familia na jamii zao.

• Athari kwa Familia : kwamba mahusiano ya ushoga kuathiri muundo wa familia na kuleta changamoto kwa jinsi familia inavyopaswa kuendeshwa.

• Kuenea kwa Maradhi : Ushoga ni njia rahisi sana kuhusu usambazaji wa magonjwa, hasa virusi vya UKIMWI, Magonjwa ya INI, Kaswendwe na N.K.

• Kukosa nguvu kazi : Mtu akijihushisha na masuala ya ushoga, Kwa kadiri makundi ya mashoga yanavyoimarika katika nchi yoyote, ndivyo hivyo nchi inapungukiwa na uzao wa watoto.

•Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, Kimsingi, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine. Sheria za Tanzania haziruhusu ushoga na hii imeainishwa katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16.

2. UTANGULIZI
• Matumizi ya bangi yamekuwa suala la mjadala duniani kote, na napendekeza kuangalia upya sera zetu kuhusu suala hili. Hoja hii inalenga kuchunguza faida za kuruhusu matumizi ya bangi kwa njia inayodhibitiwa na kuchangia mjadala wa kimataifa kuhusu suala hili.

• Muhtasari wa Hoja : Ninaamini kuruhusu matumizi ya bangi kunaweza kuwa na faida za kijamii, kiuchumi, na afya. Pamoja na udhibiti mzuri, tunaweza kufaidika kutokana na sekta hii na kupunguza athari mbaya zinazoweza kutokea.

• Athari za Kijamii : Kuruhusu matumizi ya bangi kunaweza kupunguza msongamano wa mahakama na magereza kwa kuondoa mashtaka yanayohusiana na bangi. Hii itawezesha mfumo wa sheria kuzingatia zaidi masuala mengine muhimu na kupunguza gharama za kuhifadhi wafungwa.

• Athari za Kiuchumi : Sekta ya bangi inaweza kutoa fursa za ajira na mapato ya kodi. Kupitia udhibiti wa serikali, tunaweza kuhakikisha kwamba mapato yanatumika kwa faida ya jamii, kama vile katika elimu na huduma za afya.

• Afya na Usalama : Kwa kudhibiti matumizi, tunaweza kupunguza athari za kiafya zinazohusiana na matumizi mabaya ya bangi. Mifano kutoka nchi zingine zinaonyesha kwamba matumizi yanaweza kusimamiwa vizuri na kutoa faida za matibabu.

• Sheria na Udhibiti : Ninaunga mkono mfumo wa sheria na udhibiti unaolenga kuhakikisha usalama wa umma na kuzuia matumizi mabaya. Kwa mfano, kuanzisha umri wa kisheria wa kununua na kutumia bangi na kudhibiti uzalishaji na usambazaji.

• Ushahidi wa Kuthibitisha : Uchunguzi wa kimataifa unaonyesha kwamba nchi zilizoruhusu matumizi ya bangi zimefaidika kiuchumi na kijamii. Pia, tafiti zinaonyesha kwamba mbinu za udhibiti zinaweza kupunguza matumizi mabaya na athari za kiafya.

• Kushughulikia Maswali na Wasiwasi : Tunapaswa kushughulikia maswali na wasiwasi kuhusu athari za kiafya, usalama barabarani, na athari kwa vijana. Kupitia elimu na mbinu madhubuti za udhibiti, tunaweza kupunguza hatari hizi.

• Hitimisho:
Kuruhusu matumizi ya bangi kwa njia inayodhibitiwa kutaleta manufaa kwa jamii yetu. Ni wakati wa kufikiria upya sera zetu na kuanzisha mfumo unaoweza kuleta faida na kudhibiti athari mbaya,
(a) Matumizi sahihi ya bangi yanaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kisheria na kiutamaduni wa eneo fulani. Hata hivyo, hapa kuna miongozo kadhaa ya jumla:-

• Matumizi ya Matibabu : Baadhi ya maeneo yanaruhusu matumizi ya bangi kwa madhumuni ya matibabu. Katika hali hizi, watu wanaweza kupata idhini kutoka kwa wataalamu wa afya na kutumia bangi kama sehemu ya matibabu kwa hali fulani.

• Matumizi ya Burudani Kulingana na Sheria : Katika nchi au majimbo ambayo yanaruhusu matumizi ya bangi kwa madhumuni ya burudani, watu wanapaswa kufuata sheria zinazohusiana na umri wa matumizi na kiasi kilichoruhusiwa.

• Matumizi Kwa Kuzingatia Afya ya Akili : Watu wanapaswa kuwa waangalifu na matumizi ya bangi na kuzingatia athari za afya ya akili. Kama ilivyo kwa vitu vyovyote, matumizi yanayofaa yanaweza kumaanisha matumizi ya wastani na yenye busara.

• Kuepuka Kuvuta Pamoja na Dawa Nyingine : Ni muhimu kuepuka kuchanganya bangi na dawa nyingine au pombe, kwani inaweza kuongeza hatari za athari mbaya.

• Kufuata Sheria za Usafiri : Watu wanapaswa kuzingatia sheria za usafiri zinazohusiana na matumizi ya bangi, hasa linapokuja suala la kuendesha gari au kufanya shughuli zinazohitaji umakini.

…… Kwa mfano, nchi kama Canada, Uruguay, na baadhi ya majimbo nchini Marekani zimeruhusu matumizi ya bangi kwa matumizi ya burudani au dawa kwa mujibu wa sheria zilizowekwa. Hakuna madai yaliyotolewa kuhusu nchi za Uruguay na Canada kutowapa watu wao afya ya akili.

(b) Nchini Tanzania, matumizi, umiliki, au uuzaji wa bangi ni kinyume cha sheria. Sheria za Tanzania haziruhusu matumizi au biashara ya dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na bangi. Kukiuka sheria hizi kunaweza kusababisha adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kifungo.

Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Namba 5 ya Mwaka 2015 ya Tanzania inaeleza kwa kina juu ya udhibiti na adhabu kuhusiana na matumizi, biashara, na umiliki wa dawa za kulevya, ikiwemo bangi:-

• Ushiriki katika Shughuli za Dawa za Kulevya : Sheria inafanya kuwa kosa kushiriki katika uzalishaji, usambazaji, na biashara ya dawa za kulevya.

• Ukamataji na Adhabu : Sheria inaweka utaratibu wa ukamataji, uchunguzi, na adhabu kwa wale wanaohusika na dawa za kulevya. Adhabu inaweza kujumuisha faini kubwa au kifungo gerezani.

• Mali Inayohusiana na Dawa za Kulevya : Sheria inatoa mamlaka ya kuamuru kutaifisha mali zinazohusiana na uhalifu wa dawa za kulevya.

• Tiba na Kurekebisha : Sheria inatoa nafasi kwa watu wanaopatikana na hatia kutibiwa na kurekebishwa.

• Ulinzi wa Vyombo vya Usalama : Inatoa mamlaka kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kudhibiti dawa za kulevya.

3. PENDEKEZO
Kufatitia sheria ya kupambana na dawa za kulevya(bangi) namba 5 ya mwaka 2015 ya Tanzania, pamoja na Sheria ya Tanzania kuhusu upingaji wa ushoga, katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16. Nashauri zibadilishwe ili ijikite zaidi katika upambanaji wa masuala ya USHOGA.
Anhaa rafiki Nyafwili andiko zuri ila umetangaza vita na mabwabwa ila bangi sio kitu kikubwa kama wanavyoikiza shida bongo vijana wanakula makapi ila bangi yenyewe hawaijui .

Ukweli bangi halisi haina shda na mtu shida ni yale makapi .

Aisee BICHWA KOMWE - kaa mbali na komenti yangu maana sitaki kinyeo chako .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
😐😐, Mashoga hawafai kabisa, natamani sana itungwe sheria kali kuhusu hawa bwabwa.

. Bangi haina shida, ni majani ya asili kabisa, huku kwetu tunatumia kama mboga Safi kabisa.,

. Yani ukikutwa na bangi, kesi inakua kubwa kama umeua mtu. 😐
 
Back
Top Bottom