Netanyahu azungumza na Putin kwa dakika 50, amkaripia kuhusu Putin kuonekana kama ambaye haeleweki kwenye huu ugomvi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,993
49,461
Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa kajirani, Ukraine...........hiyo aibu imemfanya achanganyikiwe....

Prime Minister Benjamin Netanyahu spoke at length on Sunday with Russian President Vladimir Putin about Israel’s war against Hamas and the situation in the region, the prime minister’s office said.

In the 50-minute call Netanyahu strongly criticized what he termed “dangerous co-operation” between Russia and Iran, according to the readout. He also expressed displeasure with the positions put forward by Russian representatives at the UN and other forums against Israel.
 
Wapi wamèandika kwamba Putin kakaripiwa?
 
Israel anapaswa kuelewa kuwa anapambania kile kile anachopambania Mrusi. Tofauti ni frontiers
 
Ukitoa Nchi zilizokuwa Soviet Union Israel ni nchi yenye wazungumzaji wengi wa Lugha ya Kirussia.

So Waislam kuweni makini na Marafiki mnaowategemea
 
Wewe Bwegee kweli Urusi anangalia maslahi siyo lugha angekuwa anaangalia lugha asingepigana Kiev.
 
Back
Top Bottom