Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,026
- 12,333
Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa).
Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu.
Nimeweza tofautiana na watu kadhaa kuhusu namna maisha yangu navyo yaendesha na kwa kweli sijawahi hafikiana nao kuhusu mtindo wao wa maisha wanaotaka juu yangu siku zote nasimamia msimamo wangu bila kujali wao wanatazama vipi.
Hili ni moja ya jambo katika mambo mengi lililo fanya mimi kufuta kabisa kichwani mwangu suala ya ndoa(kuoa).
Binafsi sitaweza kubali atokee mtu pasipo julikana na kufahamiana nae ukubwani kisha anipangie mtindo wa maisha katika kipindi chote cha maisha yetu hili ni suala lisilowezekana kwangu.
Wewe ni jambo gani linalo kufanya usioe au kuolewa sasa wala baadae ?