kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Sera ya CHADEMA inasemaje kuhusu Wasanii hususani wa muziki wa kizazi kipya?

    Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa. Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa. Sera za Chadema sijajua zinasemaje. Mwenye nazo atujuze Tafadhali. Nawatakia Sabato yenye baraka!
  2. Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia. Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula...
  3. H

    Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu? Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza? Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
  4. B

    Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  5. Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar es Salaam

    Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo...
  6. Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  7. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
  8. Ufahamu kuhusu vyeo vya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji nchini

    Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo...
  9. R

    Elimu kuhusu mabati ya nyumba

    Makala hii nimeiandaa ili kukuelimisha elimu ya kawaida na muhimu kuhusu mabati,ikiwemo maneno yanayotumika kwenye bati, hivyo sitaingia kwa kina sana kuhusu namna bati linavyoundwa.Lengo ni kukuelimisha na kukufanya uweze kufahamu mambo muhimu kabla ya kuchagua na kununua bati kwa ajili ya...
  10. Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  11. Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

    Hello guys Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na...
  12. Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu. Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo. ======= Baraza Maalum la Madiwani...
  13. L

    Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  14. Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

    Heshima kwenu wanabodi, Wakubwa shikamooni, Ninaleta Uzi huu lengo tuweke wazi matukio ya wizi ambayo yamerudi kwa kasi nchini. Naombeni tuonyeshe jinsi gani wajanja wa mjini wanatuumiza. Imefika kipindi mpaka watu wameuawa kisoosoo. Watu wanaibiwa maduka sio poa. Okay, kwa kuanza binafsi...
  15. N

    Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

    Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale. Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
  16. Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

  17. Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

    Mwenye kufahamu vyema historia ya mwafrika mwenzetu anayetajwa kama mtumwa jeuri naomba atujuze hapa jamvini. Nawasilisha. ===== KUNTA KINTE NA SIMULIZI YA UTUMWA WAKE HUKO AMERIKA KUNTA KINTE alikuwa muhusika Katika Riwaya ya "Roots" ya mwaka 1976 mtunzi wake akiwa ni Alex Haley...
  18. Makala fikirishi kuhusu ajira nchini

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu, Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika...
  19. M

    Naomba kujuzwa ajira za watu waliosomea Human Resource Management

    Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi? Au asomee skills ipi?
  20. Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1999, Togolani Mavura ambaye ni msaidizi wa Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Macocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…