Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
Habari za Jumapili Wana wa JF. Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa amekuwa akitangaza kipindi Cha USHAURI WAKO kwa muda mrefu Sana.
Kipindi hurushwa kila Jumapili asubuhi saa mbili hadi saa Tatu. Hapa huja watu wenye matatizo mbalimbali na kuelezea matatizo yao. Wengi ni wagonjwa...
Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin?
Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu?
Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
Katika Mambo makubwa ambayo Mwalimu Nyerere aliheshimika na legacy yake itabaki kwenye vichwa vya Watanzania,ni umoja na mshikamano wa Kitaifa.
Tanganyika chini ya dola ya Mwingereza ilitawaliwa katika mfumo wa indirect rule toka kwa wakoloni,kupitia machifu wa makabila mbalimbali na...
Kulipa kodi ni jambo la muhimu kwa maendeleo ya nchi yeyote. Mfano barabara, vituo vya afya, miradi ya maji, madarasa, mishahara n.k. yote haya yanalipwa na kodi za Serikali na hivyo lazima tulipe kodi.
Kinachonishangaza ni Makampuni yaliyopewa ruhusa na Serikali kuwauzia wafanyabiashara...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano)
Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona.
Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi.
asanteni sana
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao.
Na...
Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula.
Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani???
Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao
Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili ufaidike na cryptocurrency lakini kuna mambo kadhaa ya msingi unapaswa kuyafahamu
Leo nitakufundisha...
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo
Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao
Asanteni
Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina.
Swali?
Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima?
Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani?
Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu
Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi.
Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
Habari.
Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale.
Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata.
Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.