kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  2. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu Kuhusu Dhana ya kiafrika ya muda na maendeleo

    Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika. Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ongezeko la kutuma na kupokea pesa kwenye mihamala ebu tuache kulialia jamani

    Kwenye hili la ongezeko la hela ya tozo kwenye mihamala ebu watanzania tuache kulia kulia ayo ndio maendeleo na kwani kabla azijakuwepo hii huduma tulikuwa tunatumia huduma gani ebu tuache serikali ifanye kazi ituletee maendeleo sio kila jambo kulalama tu .serikali mpk kuweka hili imeshakaa...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  5. Penny

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi. Vipi logistics zake? Bei yake? Usalama wake? Na anything relating to this? Thanks in advance.
  9. Chomo

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kuhusu uwepo wa Level Seat katika daladala sio watumiaji wa usafiri huu

    Wakuu, Kumekuwa na tetesi na minong'ono miingi siku za karibuni kuhusu utumiaji wa usafiri wa umma (daladala), abiria wapande level seat lakini nimesikia huko Dodoma agizo limeshatoka tayari. Turudi nyuma kidogo,ambapo mwaka jana tukiwa katika hali kama hiyo, ikumbukwe shule zilikua...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ili kupaisha uchumi wa nchi tunapaswa kuboresha nyanja zifuatazo

    Tanzania ili kupaisha uchumi wa inchi tunapaswa kuboresha nyanja zifuatazo .Utawala Bora ,Afya,Kilimo,ukusanyaji wa kondi,Uhuru wa vyombo vya habari,bunge nk,Siasa safi,Amani. nk. 1. UTAWALA BORA; kuwa na uongozi unaozingatia sheria na misingi ya maadili,kukemea ubadhirifu,rushwa,unyanyasaji na...
  11. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

    Habari za leo leo washikadau, Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90. Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala. Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo kuhusu katiba mpya na iliyopo

  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya NECTA

    Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo: Vyuo: 1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE? Matokeo: 2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit? 3. Pass inaanzia pointi...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania RC Shinyanga na M/Kiti BAVICHA Iringa,mabishano yenu kuhusu hali ya Corona Hospitali ya Shinyanga hayana tija

    Baada ya M/Kiti wa BAVICHA Iringa ,Ndugu Vitus Nkuna kualalmika kuwa Hospitali ya Mkoa ya Shinyanga ina Scarcity ya mitungi ya gesi ya Oksijen na wagonjwa wa Corona kuwa wengi, hatimaye mkuu wa mkoa wa Shinyanga naye amekuja juu na kumtuhum kwa upotoshaje. Pia alikwenda mbali zaidi kwa kutaka...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
Back
Top Bottom