chips kavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mchana: chips kavu, yai na kuku kidari

    Karibuni, Raha jipe mwenyewe, kula chips yai haviondoi uanaume wako.
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Back
Top Bottom