Salam wakuu. Bila kuwachosha
Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno
Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana
Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?
Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
Chapa ya kimataifa ya Simu Kali za kijanja TECNO wameingia ushirikiano na kampuni ya DXOMARK kuweza kutambulisha Teknolojia mpya kwa kuzindua maabara ya kwanza ya kupiga picha Kali za Automatiki kupitia Simu janja (smartphone).
Uzinduzi huo umefanyika nchini china kupitia Jiji la Chongqing ...
Kampuni ya simu ya TECNO Tanzania imemkabidhi zawadi rasmi “Shabiki wa Dhahabu” aliyeibua hisia kubwa mitandaoni baada ya kuonekana na Tshirt ya TECNO kwenye mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso.
Shabiki huyo alipatikana kwa msaada wa Watanzania kupitia mitandao ya kijamii baada ya TECNO...
Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!!
Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series;
✔ TECNO SPARK 40
✔ TECNO SPARK 40 PRO na
✔ TECNO SPARK 40 PRO +
TECNO wametisha kinoma noma leo nakuletea baadhi ya feature utakutana nazo kwenye toleo...
Kama utaniambia ni simu Gani unaweza tumia bila wasiwasi kwa mwaka 2025 basi hii ni Series' ya Tecno Camon 40 na Camon 40 pro Toka kampuni Bora kabisa Afrika Tecno.
🎈 Kwanza simu hii imeundwa kwa muundo wa Galaxy Black , ikiwa unaishika mida ya usiku utaipenda sana inavyoonekana sio poa ni...
JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu.
Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga...
Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI.
Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana...
Shikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160.
Nimejaribu sana...
Habari ndugu naomba msaada simu yangu ina tatizo unaweza kuitumia siku nzima ila kuna muda inajizima na kujiwasha na inaendelea kufanya hivyohivyo mpaka unapobonyeza kitufe cha kuzima ndio inafunguka sasa naomba kufahamu tatizo ni nini na suluhisho lake kabla sijaenda kwa fundi,ahsante.
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.
Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero...
Habari wanaJF,
Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake.
Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo!
TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya...
Nauza simu yangu kwa shida za kifedha.
Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB
Bei 190,000
Niko old moshi ...Moshi mjini
Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike 😒😒😒😒
Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.