kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

    Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe, Hata usingizi hauji kutokana na hofu. Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
  7. Pablo Blanco

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanga ni nomaaaaa!!!! Nimenyosha mikono

    Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hili la 'Rais' kulihutubia Bunge tukiamini ni tukio 'Kubwa' halafu kuna Wabunge wanaanzisha Nyimbo na Pambio Kusifu nalo pia ni la Kikatiba?

    Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza. Je, hili la Wabunge 'Kuingilia'...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi

    Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa kupitia idadi ya watu ndipo tunaweza kupanga mambo mengine" Mbunge Sebastian Kapufi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

    Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja. Hints: Tukio hili lilitokea...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  13. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Ibrah na Baba Levo busara ni kukaa kimya

    Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka. 1. IBRAH Sijui kama aliwaza mara mbili kabla ya kufanya alichofanya sijui kama alijaribu kuifikiria nafasi...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Dune: Naisubiria hii movie kwa hamu kubwa

    Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965. Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange kinapatikana. Lakini sayari hiyo ni jangwa na kuna minyoo wakubwa sana na hatari wanaoishi chini ya...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

    Amani iwe kwenu wadau! Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku. Alama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa hospitali kubwa kama hii

    Habari wakuu, Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa. Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

    Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe. Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili/ wanasheria wa Tanzania sikilize questioning ya Pulmonologist by prosection kuhusu kesi ya George Floyd, kuna knowledge kubwa ya kujifunza

    Kuna live prosecution, very interesting kuna maarifa makubwa mtayapata katika kesi za mauaji. Jebra, Lisu, na wengine fuatilia.
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu nyingine kubwa kwa taifa letu - Naiona CCM kuendelea kuwa juu miaka100

    Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao. CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa...
Back
Top Bottom