Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko.

Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana.

Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata kitabia?

Asanteni kwa Michango yenu.
 
Kuna laser alipiga tanzanite ya thamani Sana, af Kuna laser alipiga jackpot Zaid ya mil 200 tena Kuna laser alipiga madini. Nadhan kupo na Siri flan
 
Kuna laser alipiga tanzanite ya thamani Sana, af Kuna laser alipiga jackpot Zaid ya mil 200 tena Kuna laser alipiga madini. Nadhan kupo na Siri flan
Huu ukoo una bahati sana,

Halafu ni Laiser.
 
mke wa Museveni anaitwa Janet
mke wa Magufuli anaitwa Janet
mke wa Kagame anaitwa Janet

Mke wa Lisu Haitwi Janet ndio maana makosa number uraisi
 
Ndiyo maana nikauliza Kuna Siri ktk majina hususani kwenye Mafanikio nyakati fulani.
Kwa hapa Tanzania jina la mwisho likiwa na herufi M basi unaweza kuukwaa Urais,

1. Ally Hassan Mwinyi.

2. Benjamin William Mkapa.

3. John Joseph Magufuli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom