kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

    Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa. Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa. Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hii kwangu imekuwa changamoto kubwa. Hata natamani kukimbia home

    Habari! Mimi nmejenga sehemu moja hapa Dar kms 16 kufika Posta kwenye Mnara wa Askari. Nachelea kusema ni mbali na Jiji au si mbali sana. Kiwanja nilinunua kikubwa sana.of course Mzee alitununulia miaka hiyo ya 90s then nami nikaja ongezea so nina eneo la kutosha hasa. Nmejenga na nimepata...
  4. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - bunduki zilizotengenezewa hapa Kenya zinatumika Somalia

  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  6. safuher

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa mapema kwenye ndoa kwa sababu moja kubwa ya wao kuwa na umri mkubwa kuliko wake zao

    Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu. Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea. Sasa tukija kwenye mas'ala ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni. Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha. Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wadau ukienda choo cha ugenini kabla hujajisaidia hakikisha kama kuna maji ndio uchuchumae

    Wadau naandika nikiwa katika hali ya huzuni. Kuna binti mmoja ambaye kiuhalisia namkubali sana, ni mzuri, msomi na mtu wa dini sana. Last week alinialika kwao nikamsalimie Mama yake kwasababu kidogo alikuwa na mgogoro kiafya. Nami kwa kuwa nataka palilia uhusiano nikaona nisikose kufanya...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pamoja na kushindwa uchaguzi bado mna deni kubwa wa watanzania

    Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile. Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja. Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa kubwa, Magufuli baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea taarifa za habari jana na pia baada ya kujiridhisha: He! Kumbe yule mgeni wetu mpendwa kabisa, mwalikwa tokea pande za pale Burundi aliingizana nchini kwa kutumia moja ya madege yetu yale mapya mapya ya ATCL chapa ya twiga? Ikizingatiwa uwanja wa ndege Bujumbura...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa mpya ya Kamishna wa Kulinda Data atalinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter

    AFISI mpya ya Kamishna wa Kulinda Data italinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter na Google, Immaculate Kassait ambaye ameteuliwa kushikilia wadhifa huo amewahakikishia wabunge. Bi Kassait, ambaye kabla ya Rais Uhuru Kenyatta...
  13. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba ridhaa ya uongozi wa kisiasa kwa Watanzania

    #Upandachondichouvunacho: Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba kura kutoka kwa wananchi wa Tanzania kupewa uongozi wa kisiasa ni haya. 1. Kumshambulia mgombea mshindani kwa tuhuma zisizothibitishwa na chuki dhahiri za binafsi; 2. Kulazimisha wananchi wakatae kukiri wanachokiona kimetendwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Pokeeni mgeni wanaJf, hii ni siku kubwa kwetu

    Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini. Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama rasmi wa jamii forum baada ya kuww msomaji kwa miaka kadhaa. Naomba mnipokee.
  15. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa: 17 year old boy in Kenya starts Radio station in abandoned kiosk.

  16. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  17. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - Tractors made in Kenya

    Shujaa Tractors ...karibuni sana
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: CCM yapata aibu kubwa TPDC Mikocheni

    Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000 Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wanawake huanza enjoy Mapenzi kuanzia kwa Mwanaume wa Tatu na kuendelea

    Utafiti huu nmeufanya kwa wanawake zaidi ya 100 wengi wanakiri hawakuwa waki enjoy mapenzi na their first boyfriends. Mpaka kuanzia wa tatu na kuendelea au wa pili. Kisaikolojia image ya tendo la siku ya kwanza hubaki kichwani na kuonesha hali ya maumivu kila wanapoingilia kimwil hujenga picha...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa kwenye kilimo biashara - Kenyan fresh produce nets Sh235m at Italian expo

    Thirty-six Kenyan vegetable and fruit companies sold Sh235.22 million worth of produce at this year’s Macfrut Digital Trade Fair in Rimini, Italy. The three-day event, which was in collaboration with the International Trade Centre, was postponed in May amid disruptions brought about by the...
Back
Top Bottom