kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: ni nchi 10 tu duniani zilizofanikiwa kuwapatia chanjo wananchi wake kwa idadi kubwa

  5. JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  7. JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

    Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti. Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  10. JamiiForums Tanzania Fursa kubwa inayopatikana kata ya Kiranjeranje Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi

    Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
  11. JamiiForums Tanzania Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

    #UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa. === HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Mazoezi ni siri kubwa ya urembo na tambo zuri

    Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu. Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa mkoani Morogoro

    Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
  16. JamiiForums Tanzania DC mpya Gairo una kazi kubwa ya kurejesha tabasamu kwa wananchi

    Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  18. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna muda huyu Mchambuzi wa Michezo mwana Yanga SC 'lia lia' Privaldinho wa Clouds FM huwa anakuwa na akili Kubwa hivi? Heko Kwake!

    " TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena " Chanzo: @privaldinho Haya sasa wana...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…