kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa. Chanjo sio suluhu ya kuondoa hofu

    Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot. Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha kiangazi wanapata hofu ya kufa wanadai ni Corona. Watu wanapiga nyungu lakini wana hofu ya kifo. Hii...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  5. Frank Lyova

    JamiiForums Tanzania Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

    Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

    Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa. Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
  7. Hamayser hamisi

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

    Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi. 1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
  8. DustBin

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  10. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania WHO: ni nchi 10 tu duniani zilizofanikiwa kuwapatia chanjo wananchi wake kwa idadi kubwa

  12. Richard

    JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

    Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti. Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi...
  16. BakalemwaTz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  17. Hamayser hamisi

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa inayopatikana kata ya Kiranjeranje Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi

    Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

    #UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa. === HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni siri kubwa ya urembo na tambo zuri

    Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu. Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
Back
Top Bottom