Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,542
- 3,451
Habarini wadau, ndugu, jamaa na marafiki!..
Nimeona itakuwa vizuri kupitia uzi huu tukijadiliana kwa dhati kabisa juu ya hatma ya uwepo wetu Duniani.
Maisha siyo zaidi ya muda na nguvu " life is not more than a matter of time and energy"..tatizo ni namna tunavyoutumia muda na nguvu tulizojaliwa kwa kitambo kifupi tu.
Uzi huu ni ninatamani sana uwe ni mvuto wa watu wote wenye nia ya kupunguza utofauti uliopo kati ya kujifunza na kutenda.Kulingana na maandiko ya Ken Blanchard katika kitabu cha " One minute management" ameonesha tofauti iliyopo kati ya kutenda na kujifunza ni kubwa kama ile uliyopo kati ya ujinga na maarifa.
Ikumbukwemuda utaendelea kupita tu lakini binadamu tunao uwezo wa kuboresha nguvu zetu...Jiulize nguvu zako unazitumia namna gani katika kutimiza kusudi la uwepo wako?.
Karibu sana tujadiliane juu ya kujitawala na kutekeleza kusudi la kila mmoja wetu kwa pamoja, muda sahihi wa kujiuliza na kubadilika ni sasa. Hatujachelewa kuamua bado, ninaamini hili kinawezekana.