Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.
Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii.
Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971
Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya
1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga
2. Rushwa
3. Unyanyasaji
4.kupendeleana kwenye vyeo
5. Mafunzo
Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda.
Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia,
Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu.
Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA
PROFESSIONAL: IT specialist
-Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
Naomba kutoa Rai kwa serikali!
"Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out!
Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU
Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael, amesema Mabadiliko ya Mitaala ni swala pana ambalo linatakiwa liangaliwe kwa Upana wake. Katika Kufanyia Elimu Mageuzi unaanzia kwenye kubadilisha Mitaala. Ameyasema hayo wakati alipopokelewa Dodoma kwenye Ofisisi za Wizara...
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je, naweza kuroot hiyo operating system
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.