kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  2. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi kushirikiana na Korea kubadilisha mifumo yake kuwa ya kidigitali

    Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji, upimaji na uwekaji kumbukumbu za sekta ya ardhi kutoka analogia kwenda digitali ili kuboresha sekta...
  5. Felix Mwinami

    JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUBADILISHA LUGHA KWEBYE DASHBORD YA PREMIO

    Samahani wakuu nawezaje kubadili lugha kwenye dshbord ya premio?? nimeambatanisha picha ya ninachomaanisha kwa msaada zaidi
  6. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Rim size vs Speedometer & Milage

    Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..! Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing yamalizika

    Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji wa Beijing kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi 2022 imeanzisha kwa utaratibu

    Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Sababu alizozitoa Rais Samia kuhusu kubadilisha Baraza la Mawaziri, hazikuwa za kweli?

    Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025 na akaendelea kusisitiza kuwa hao mawaziri atawaweka pembeni...
  12. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  13. tamsana

    JamiiForums Tanzania Muda (Kilometre) wa kubadilisha Automatic transmission fluid (ATF)

    Habari ya majukumu wadau. Baada ya kuagiza gari used kutoka Japan ilipofika nchini nilibadilisha engine oil na ATF. Kwa maelezo ya wataalam (garage) ambako nilifanyia service walinishauri kubadili ATF baada ya kutembea angalau 50k kilometres. Hadi sasa nimetembea 20k kilometres na kwa sababu...
  14. Jebel

    JamiiForums Tanzania Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

    Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru. Twende kwenye maada...
  15. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

    Habari wana JF, kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA, 0623 306 403
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Mfumo wa Elimu ili Kupata Shule Zinazojitegemea na Kujiendesha kwa Faida

    Part One Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA KIPATO Utangulizi Kuna jambo halipo sawa kwenye mukstabali wa Elimu yetu nchini pamoja na dunia kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yahimizwa kubadilisha sera yake ngumu dhidi ya China

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa jeshi letu kuboresha sare zake ziwe za kisasa zaidi

    Habari wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia uniform za majeshi ya nchi zinazoendelea kama Marekani, China, Uinhereza n.k. Itagundua uniform za majeshi yao za zamani na sasa ni tofauti kabisa. Mfano jeshi la Marekani uniform zao wakati wa vita vya Vietnam na za sasa ni tofauti kabisa. Za sasa zina...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  20. Black Label

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha document ya PDF Jpeg

    Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG. Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09. JF Never Fail....
Back
Top Bottom