kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kanye West Anataka Kubadilisha Jina Ili Aitwe YE

    Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye peke yake. Kanye ambaye jina lake kamili ni Kanye Omari West, ametuma maombi hayo rasmi akitaja sababu...
  2. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha grades

    Naomba kuuliza Nina rafiki amemaliza kidatu cha nne Kenya (Kcse) anataka kufanya conversation ya grade zake kwa mfumo wa necta je afanye nn?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Rais Samia atakumbukwa kama 'Iron Lady', tumpe muda ya kuendeleza vita vya uhujumu uchumi na ugaidi

    Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu. Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha usalama na amani vinalindwa kwa nguvu zote na yeyote anayeonesha viashiria vyovyote vya kuvunja amani...
  5. Musundi

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kubadili Tarriff

    Habari wandugu? Naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa: Nimepewa namba na TANESCO niingize kwenye mita kwa ajili ya kubadilisha Tariff. Nilichosahau kuuliza: Naweza kuziingiza sasa hivi au ni lazima nisubiri units zilizomo ziishe kwanza ndio niingize namba hizo kwenye mita?
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

    Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
Back
Top Bottom