Muhtasari:
Andiko hili linahusu jinsi ya kukuza mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote. Lengo ni kujenga mazingira yenye uwazi, uadilifu, na uwajibikaji kwa faida ya jamii nzima. Andiko hili linatoa mwelekeo muhimu na hatua za utekelezaji ili kuwezesha mabadiliko haya...
Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa.
Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
ELIMU NDIYO SILAHA YENYE NGUVU ZAIDI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KUBADILISHA ULIMWENGU
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Elimu imekuwa ikitajwa mara kwa mara kama silaha yenye nguvu zaidi ambayo mtu anaweza kutumia kubadilisha ulimwengu. Kichwa cha habari hiki kinaangazia umuhimu wa elimu...
Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu.
Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako.
Plate namba za 3D zinapatikana hata...
Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016.
Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu.
Gari zote hizi hapa chini.
WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA.
Na Thadei Ole Mushi.
Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha.
BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo mashine ngingine ila nibadilisha pull itakuwa na speed ya kawaida.Swali ni je ni kweli kubadilisha...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
elimu
elimu ya awali
elimu ya msingi
kamati
katiba
katiba mpya
kitaifa
kubadilisha
maboresho
maoni
mfumo
mitaala
mitaala ya elimu
mpya
msingi
rasimu
rasimu ya elimu
ripoti
sekondari
sera ya elimu
serikali
ualimu
walimu
Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
Habari wana jukwaa..
Natumai mko poa, niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. mimi ni mwalimu niliyehitimu katika shahada ya ualimu mwaka 2015 katika masomo ya chemistry na mathematics ambae bado sijapata ajira.
Nahitaji kubadili fani kwenda kusomea kati ya kozi zifuatazo;
1. Diploma in...
Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
Habari za mchana Wana Jf.
Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya
Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa....
Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini......
Saudi Arabia is likely to bend its laws...
Yahoo!
Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra.
Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na...
Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.
Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii.
Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.