Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari
Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama...
UTANGULIZI:
Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa.
KIELELEZO: TBC wakiendesha...
habari
kubadili
kusikia
maneno
mitandaoni
nyuma
sauti
teknolojia
televisheni
tumieni
ulemavu
ulemavu wa kusikia
vyombo
vyombo vya habari
watu wenye ulemavu
wenye
Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo.
Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani.
Watoto wanakuzwa wakifundishwa kutegemea serikali kuwapatia kazi na maisha Bora.
Viongozi wanategemea nchi kuendelea kwa misaada...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA.
Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
Habari wakuu,
naombeni msaada,
nahitaji kubadilisha TIN number ya kawaida kuwa ya biashara online, kwa aijili ya chombo cha moto aka bajaj,
sasa huku online naona mapichapicha tu nimefika level ya business location sasa hapo mtihani. au sio lazima kujaza vipengele vyote?
Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu.
KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu.
Na pia nichukue...
Kwema Wakuu,
Mimi ni mkaazi wa Kitongoji Kimoja wilaya ya Kinondoni hapa Dar es Salaam. Jumatatu nilipigiwa simu na watu wa TANESCO kunifahamisha kua Kwa kua number ya mita yangu inaanzia na 24... basi nitabadilishiwa mita hiyo kesho yake yaani juzi.
Juzi Jumanne kweli walikuja asubuhi...
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani.
Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?
Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x .
Sasa ipo hivi:
Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company inabidi utangaze kipindi ambacho itauza shares na kubadili shareholders.
Sasa baada ya Musk kuinunua...
Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa.
Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu.
Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
Habari za wakati huu wakuu,
Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.