Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?

Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
 
Mbona rahisi kwanza ndoa ya kwanza walifunga vip?

Mgogoro wa ndoa katika ishu ya dini ni baina ya mke na mume ,wote wakiridhia hamna tatizo.

Wakikubaliana hamna tatizo maana wamependana hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote kile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom