kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Duncan Nyoni: Mchezaji anayeweza kubadili mchezo

    Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji. Kocha ampe nafasi zaidi..
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano tunaomba mzindue huduma ya kubadili vocha kuwa muamala wa pesa

    Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji. Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili hela ili watu watumie taasisi za fedha

    Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa jeshi letu kuboresha sare zake ziwe za kisasa zaidi

    Habari wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia uniform za majeshi ya nchi zinazoendelea kama Marekani, China, Uinhereza n.k. Itagundua uniform za majeshi yao za zamani na sasa ni tofauti kabisa. Mfano jeshi la Marekani uniform zao wakati wa vita vya Vietnam na za sasa ni tofauti kabisa. Za sasa zina...
  6. monotheist

    JamiiForums Tanzania Kubadili pesa ya kigeni

    Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu Je wapi naweza kubadilisha hizi pesa maana nasikia benki nyingi hawabadili
  7. La Quica

    JamiiForums Tanzania Kubadili Course nikiwa Chuoni

    Wakuu habari za leo. Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law. Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD. Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu...
  8. Master Kutu

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa. Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

    Salamu kwenu wanajamvi, Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM. Shuktlrani
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

    Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha. Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliobadilishiwa tozo bila kubadili matumizi watakiwa kuripoti TANESCO

    NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema watumiaji wa Umeme Waliobadilishiwa Tozo za kutoa huduma (TARIFF) kutoka kundi moja kwenda jingine pasipo wao kubadilisha matumizi halisi watoe taarifa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kufanyiwa marekebisho ya tozo hizo...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi zawadi za shindano la Stories of Change zinavyoweza kubadili maisha ya washindi

    Uongozi wa mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF) umebuni shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change) kwa wanachama wake. Awamu ya kwanza ya shindano hili itaanza Julai 14 hadi Septemba 15, 2021. Zawadi zilizotangazwa kutolewa ni kama zinavyoonekana kwenye kielelezo...
  13. yello masai

    JamiiForums Tanzania Ukikopa benki A na baadaye ukashindwa kulipa; Je, unaweza kufungua akaunti benki B bila kukatwa na mamlaka?

    Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo. Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu. Waheshimiwa nina swali. Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

    Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote. Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

    Kwako DC Jokate Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya, binafsi nakukubali sana aina ya uongozi wako, umefanya kazi nzuri sana huko Kisarawe. Pia, sina wasiwasi kuwa hata hapa Dar ulipohamishiwa katika wilaya ya Temeke utafanya vizuri. Naamini kabisa kuwa kwa jinsi unavyochapa kazi...
  16. Fisher_8

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kubadili jina; nitawavunjia heshima wazazi nikifanya hivyo?

    Salamu kwenu, Hivi wakuu itakuwa nawavunjia heshima wazazi nikiamua kubadili jina? Mzee alikwishaga tangulia mbele za haki, kabaki mama tu. Kipindi cha zamani hata wakati baba yupo mama aliwahi nigusia kuwa jina nililopewa yeye wala alikuwa hakilipenda ila ni vile mzee alishalipangaga hata...
  17. Mwifwa

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

    Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu. Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa kuweka mdomo katika hali ya usafi, ila kuna baadhi wanaozingatia hii kanuni. Kwa mimi binafsi hii...
Back
Top Bottom