Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x .

Sasa ipo hivi:

Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company inabidi utangaze kipindi ambacho itauza shares na kubadili shareholders.

Sasa baada ya Musk kuinunua twitter na kubadili jina, akaibaili kutoka public company na kuifanya kuwa private company ikiwa na wale wale shareholders wa mwanzo, alafu akaiuza kwenye kampuni nyingine ambayo pia anaimiliki mwenyewe kwa $19 billions.

Hii ilitengeneza $25 peper loss kwamba Elon Musk alitumia ku-cover up gains of other companies. Ikamfanya abaki kwenye control akimiliki kampuni na kuonekana alipoteza 25$ billions loss on paper.

Aliweza kufanya hivi kwa sababu the tax code allows to take capital losses and apply them to capital gains in the same tax year and roll those capital gains forward. Hakuwa na sababu ya ku-declare shareholders ni kina nani au mauzo ya zile stocks kwa sababu ni private company.

Zipo mbinu kadha wa kadha za kukwepa kodi legally ni wewe tu kuamua kuzijua au uendelee kuichangia serikali!

I had to write this!
 
Sio US au Europe tu, tax avoidance hata hapa kwetu ipo. Anglia kampuni ya TIGO juzi juzi hapa imeuzwa tena, hii kampuni kila baada ya miaka mi 5 utaskia umeuzwa kwa mmiliki mwingine. Kila mmiliki mpya ana omba tax holiday hadi 3-4yrs. Sisi tutafanyaje?? Sheria ina ruhusu

Honestly, Mm mwenyewe kipindi cha nyuma nilisha fanya tax advisor kwenye kiwanda cha cement, jamaa wana lipa vizuri assume ume save up 46% ya taxable income
 
Sio US au Europe tu, tax avoidance hata hapa kwetu ipo. Anglia kampuni ya TIGO juzi juzi hapa imeuzwa tena, hii kampuni kila baada ya miaka mi 5 utaskia umeuzwa kwa mmiliki mwingine...
Nimeshangaa kuona Kampuni nyingi zilizosajili miradi pale TIC zinatokea Mauritius
 
Nimeshangaa kuona Kampuni nyingi zilizosajili miradi pale TIC zinatokea Mauritius
Mauritius tax ni 15%, hapa kwetu ni 30%. Nikisajili kampuni Mauritania alafu nakuja ku operate hapa tanzania kama subsidiary TRA wakuja nawaambia mm nalipa kodi nchi nilipokua incorporated (ambapo wana kata 15%).

Japo TRA watakulazimisha ulipie gain 15% iliobaki lkn kukwepa kulipa hii remain/gain 15% ni rahisi sana hadi kijana wa advance anaweza kwepa
 
Mauritius tax ni 15%, hapa kwetu ni 30%. Nikisajili kampuni Mauritania alafu nakuja ku operate hapa tanzania kama subsidiary TRA wakuja nawaambia mm nalipa kodi nchi nilipokua incorporated (ambapo wana kata 15%)...
Maana yake ni makampuni ya wazawa ila yamekiwa incorporated Mauritius
 
Maana yake ni makampuni ya wazawa ila yamekiwa incorporated Mauritius
Mfano: Wewe umesajili kampuni yako Mauritania, ukitaka ufanye kazi Tanzania lazima isajiliwe brela. Ukifika brela unsema kampuni yangu ina operate kama subsidiary (kampuni mama ipo Mauritania) au kama tawi hapa TZ kwa lugha yepesi
 
Back
Top Bottom