Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
Hamjambo!
Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.
Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.
Paulo hakuwahi...
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
Habari wakuu.
Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic.
SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission.
Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia.
Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo
Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena...
Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024)
| Nchi | Idadi ya LGBTQ+ (Makadirio) | Asilimia ya Watu | Sheria za LGBTQ+
| Marekani | ~31 million | ~9.2% | Ndoa halali (2015) |
| Brazil | ~20 million | ~10% | Ndoa halali (2013)...
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano
Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha
Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani
Tec mnaweza...
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
Mko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza?
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Habari Wana JF naomba kuuliza .
Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake
Kufunga ni kujinyima
Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji
Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba
Kujitangaza na kujionyesha ati unafunga ni unafiki na dhambi
Unakuta mtu amefunga mchana anatembea na bakora...
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said
Kabla ya hapo, eneo hilo...
Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau.
Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
January 26, 2025
By Agencies
Today, 4:32 am
US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.