Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.
Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
Mwaka jana 2022 Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa...
Wandugu habarini za majukumu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi.
NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp.
Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii...
NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO.
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
Akiwa katika Mkutano na waandishi wa habari, Dr Wilbroad Slaa amewalaumu waandishi wa habari kuwa walipewa fedha ili kuandika habari kuwa Dr. Slaa akubali mkataba wa bandari. Ambapo amesema kuonesha kuwa wamepokea fedha hata vichwa ya habari vilifanana kwa magazeti saba. Slaa ameongeza kuwa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023.
Ufungaji wa kamera za Ulinzi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...
Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo
Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye
Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga
Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo
Hii italeta nidhamu...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
Habari wapendwa,
Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?.
Natanguliza shukrani huku...
Jinsi ya Kuandika kwa Mtindo
Kurt Vonnegut, mwandishi wa riwaya kama vile "Slaughterhouse-Five," "Jailbird," na "Cat's Cradle," aliulizwa jinsi ya kuweka mtindo wa kibinafsi katika maandishi yako.
Waandishi wa habari na waandishi wa kiufundi wanafundishwa kutofunua chochote kuhusu wao wenyewe...
Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine.
Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
BONDE la Bugwema na Bonde la Suguti yaliyopo katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara yako kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2023/2024 iliyopitishwa na Bunge siku ya Mei 9, 2023 ili kuwezesha kilimo cha umwagiliaji kufanyika jimboni humo.
Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la...
Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa.
Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco.
Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
Watunzi wa vitabu na waandishi wa habari wametaki wa kuandika uhalisia kwa kufanya utafiti.na uchunguzi wa kuto sha ili kupata ukweli wa mambo badala ya kuandika kwa mihemko, jazba na visasi hali itakayosababisha. walaji wasipate kile kilichokusudiwa.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo yahusuyo kazi hii inayokusudiwa kuanza, sote tutakuwa tumepata uelewa wa kutosha, na haitakuwa tena...
Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence.
Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu.
Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba