kodi

  1. Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

    Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM. Hii sio fair kabisa. Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao. Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
  2. S

    Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  3. Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  4. R

    Je, kuna dini inakataza kubeti? Kama ipo waumini wake watakubali kutibiwa kwa kodi za betting? Kwanini wasitumie kwa mapato ya madini?

    Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
  5. Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  6. R

    Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  7. Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  8. Bidhaa kutoka Zanzibar kutolipishwa kodi, Serikali kuunganisha mifumo ya kodi Bara na Zanzibar

    Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla. Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za...
  9. Kodi ya mapato ya makampuni | corporate income tax (statement of estimated tax payable na final return of income)

    Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa): Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
  10. S

    BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

    Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
  11. B

    Mgawo wa Umeme: Vifurushi vya TV, Kodi TRA zipungue

    Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12? Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile? Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile? Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
  12. Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  13. Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

    deleted
  14. Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  15. Serikali ya Nigeria inapanga kupunguza idadi ya Kodi kutoka 62 hadi chini ya 10

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Rais ya Sera, Fedha na Marekebisho ya Kodi, imeeleza kuwa Kodi zilizowekwa katika maeneo mbalimbali zinaongeza mzigo mzito kwa Wananchi, hivyo hatua ya kuzipunguza itarahisisha mfumo wa Kodi na kupunguza maumivu. Kamati imesema imefanya utafiti na kubaini...
  16. Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  17. N

    Tunakusubiri Waziri wa Ardhi utangaze msamahawa riba kwenye kodi ya Ardhi

    Ieleweke kuwa Waziri anapotangaza msamaha wa riba katika malimbikizo ya kodi ya ardhi mdaiwa anaweza asiwe na uwezo wa kifedha kipindi hicho lakini uwezo huo wa kulipa ukawepo mwaka unaofuata. Kwa mantiki hiyo ni vizuri Waziri wa Ardhi atoe muongozo wa kufuta riba kwenye malimbikizo ya kodi ya...
  18. Hivi huwaga unafanyaje; Pesa ya kodi inakaribia na hauna kitu daaah!

    Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake leo tarehe 2. Aiseeee na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni. Maokoto zero kula kwenyewe kumekuwa kwa tabu saaana, kulala njaa...
  19. Je, mwananchi unajua maana halisi ya kodi ya mapato?

    Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako. Je Faida ni ipi kwenye biashara yako? Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini? Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
  20. A

    Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

    Kiongozi yeyote ili kufikia malengo yake lazima awe na Mikakati. Mojawapo ni uzalishaji wa umeme WA kutosha , ili mitandao ya kukusanya Kodi iwe na ufanisi unaotakiwa, Kwa kutumia vishikwambi kwenye maduka ya mtaani nk. Pia uzalishaji mwingi WA viwandani iwe vikunwa au vidogo inahitaji umeme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…