kodi

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yako anaweza kukuvumilia miezi mingapi bila kumlipa kodi yake?

    Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
  3. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    #KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi. Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje unatozwa kodi kiwanja na jengo?

    Kuna mambo ukiyafikiri hapa duniani Unastaajabu..yaani Wakati unanunua kiwanja unalipa kodi Wakati unapima kodi Wakati unaomba kibali cha ujenzi kodi Wakati unajenga kodi za material Wakati unajenga kodi za service kuingiza umeme,maji Tena upo ndani ya nyumba unalipia nyumba na kiwanja? Kweli...
  6. zachaja

    JamiiForums Tanzania Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani waomba kuongezewa kodi

    Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri. Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
  8. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye nyumba wanalazimisha wapangaji walipe Kodi kwanzia miezi 6?

    Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
  9. ofisa

    JamiiForums Tanzania Tukabidhi miradi na taasisi kwa wawekezaji na sisi tusilipe kodi bali tulipie huduma

    Awamu ya tano wamekuja na miradi ya PPT yaani muwekezaji anapewa mradi anaujenga kwa gharama zake kisha anaweka gharama za utumiaji ili kurejesha gharama alizotumia plus faida labda kwa miaka 30 baadae ule mradi ndio unarudi kwa serikali. kwa maelezo ni miradi mizuri tu hata Congo ndio...
  10. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tunakukumbusha kufanya makadirio ya kodi ya mapato ya mwaka 2024 mapema

  12. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya kodi ya nusu mwaka wa fedha 2023/2024

  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tuige huu Uzalendo: Wafanyabaishara wadogo Kenya waandamana kuunga mkono kodi mpya ya Serikali

    Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania ==== A group of youth on Thursday flocked the streets...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali badilisheni kodi kwenye usafiri kwa manufaa ya umma

    Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri. Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili halijazingatia gharama za gari kama mikopo, registration , bima..... na mengineyo Haya ndiyo makadirio ya...
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
  17. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnanigombanisha na TRA. Siwezi kulipa kodi kabisa wakati kutwa nzima umeme hakuna

    Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI. Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo. 😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

    Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi. Mtoto wa Mzee Lukas Tarimo aitwaye a Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kodi kufanyiwa marekebisho kila baada ya miaka mitatu

    Serikali imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza kuwa Serikali imeweka Sera ya Kodi inayotabirika...
Back
Top Bottom