Tunakusubiri Waziri wa Ardhi utangaze msamahawa riba kwenye kodi ya Ardhi

Next in Line

Member
May 16, 2023
31
33
Ieleweke kuwa Waziri anapotangaza msamaha wa riba katika malimbikizo ya kodi ya ardhi mdaiwa anaweza asiwe na uwezo wa kifedha kipindi hicho lakini uwezo huo wa kulipa ukawepo mwaka unaofuata.

Kwa mantiki hiyo ni vizuri Waziri wa Ardhi atoe muongozo wa kufuta riba kwenye malimbikizo ya kodi ya Ardhi kama ilivyofanyika na mtangulizi wake ili wadaiwa walipe.

Nawasilisha.
 
Soma heading ya uzi wangu. Nimejielekeza kwa Waziri wa Ardhi si Kwa Afisa Ardhi mwandamizi.
Sisi ndio tunamshauri huyo waziri,sisi ndio wataalamu ,yeye mwanasiasa tu,ndomana aweza tumbuliwa muda wowote,Jerry siyo mtaalamu wa Ardhi,juzi tu hapa alikuwepo mabula,leo Yuko wapi?
 
Back
Top Bottom