kodi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kodi kufanyiwa marekebisho kila baada ya miaka mitatu

    Serikali imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza kuwa Serikali imeweka Sera ya Kodi inayotabirika...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisababisha wananchi kugombania vitambulisho vya kodi ya machinga

    Salaam Shalom, Enzi ya Magufuli, Ukiwa na kitambulisho cha matching guy cha 20,000 Kwa mwaka, TRA Wala Jiji walikuwa hawakusogelei ukiwaonesha. Ndipo nikajua kuwa, Watanzania wanapenda kulipa Kodi inayoendana na uwezo wao. Ndugu yule, alifanikiwa kukusanya pesa nyingi sana Kwa mfumo Rahisi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya vipi kodi kwenye biashara kwenye app ya Airbnb?

    Hii biashara maarufu na pendwa kwa sasa Tz nauliza serikali yetu inakusanya vipi mapato
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

    Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM. Hii sio fair kabisa. Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao. Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dini inakataza kubeti? Kama ipo waumini wake watakubali kutibiwa kwa kodi za betting? Kwanini wasitumie kwa mapato ya madini?

    Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutoka Zanzibar kutolipishwa kodi, Serikali kuunganisha mifumo ya kodi Bara na Zanzibar

    Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla. Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za...
  15. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Kodi ya mapato ya makampuni | corporate income tax (statement of estimated tax payable na final return of income)

    Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa): Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

    Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa Umeme: Vifurushi vya TV, Kodi TRA zipungue

    Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12? Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile? Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile? Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

    deleted
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
Back
Top Bottom