Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako.
Je Faida ni ipi kwenye biashara yako?
Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji.
Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini?
Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza biashara kwasababu biashara mpya Haina vitabu. Kwahiyo mwisho wa mwaka kama umepata Hasara basi hutalipa chochote kwasababu huna Faida kwa kizungu Zero returns.
Je kwani watu wengi hawalipi kodi?
Wafanyabiashara wengi hawajui kutunza kumbukumbu ya biashara zao hivyo mwisho wa mwaka Hawana ushahidi kuwa biashara alipata Hasara.
Nini kifanyike kwa mfanyabiashara. Mfanyabiashara lazima awape mikataba wafanyakazi, asajiri Magari, matumizi ya mafuta yaani kila matumizi ya biashara yawe wazi ili kurahisisha Mahesabu ya biashara. Baadae Faida watakayopata baada ya kutoa matumizi na mtaji ndio anatakiwa kulipa kodi ya mapato.
Part 2
VAT ni value added Tax kila bidhaa au huduma utalipia 18% ya bei halisi. Mfanyabiashara aliyesajiriwa VAT anakuwa wakala Moja kwa Moja wa TRA kukusanya mapato ya 18% aliyomtoza mteja. Hii kodi mfanyabiashara anamtoza mnunuzi.
Wafanayabiashara wengi hula hii pesa na kuweletea mzigo mkubwa wa madeni. Ni vizuri wafanyabiashara kuweka pembeni kabisa hii kodi. Au weka bank kila siku baada ya mauzo.
Kwanini tunatumia machine ya kutolea listi?
Kufuatilia mawakala wa kodi ya VAT imekuwa ngumu sana kujua mfanyabiashara amekusana kiasi gani kutokana vitabu vya mauzo hutengenezwa holela mtaani.
Serikali ikaja na mpango wa EFD machine ambapo mauzo yote husoma Moja kwa Moja TRA. Kuna mapungufu kwenye hii EFD but tutaongea siku nyingine. Lakini hii ndio dhana nzima ya VAT.
naendelea.........