kodi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za Viongozi kuhusu Kodi

    Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa. Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe TRA hawatungi Sheria za Kodi

    Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa. PIA SOMA - Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kodi kwa wafanyabiashara: Kodi ya VAT sio yako

    Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani wanaoteseka kwa kodi

    Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  7. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA inawakumbusha walipa kodi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria

  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae propaganda za CCM, wanazodai kuwa Watanzania chini ya asilimia 5 ndiyo wanaolipa kodi nchini!

    Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambapo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60! Mimi nazikataa propaganda hizo za wanaccm Kwa nguvu zote, Kwa kuwa watanzania wanakamuliwa Kodi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Watu Milioni 3 ndio wanaolipa kodi kati ya Milioni 30+ wanaostahili kulipa

    CASHLESS ECONOMY-DIGITAL ECONOMY (Uchumi wa Kidijitali, matumizi ya fedha kielectroniki kwenye shughuli za kiuchumi). Leo (16/05/2024) nimesimama Bungeni kuomba ufafanuzi kwa serikali, Katika Dunia ya sasa, uchumi umehamia kwenye mifumo (elekroniki) iwe kununua au kulipa au kupata huduma yoyote...
  12. STEYAN MEJA

    JamiiForums Tanzania Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

    Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu 😂😂🙌 ) Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi😂 ya kulipwa 120k per month siyo case...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  14. Lawrance franci

    JamiiForums Tanzania Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametoa siku thelathini (30) kwa wamiliki wote wa ardhi wanaodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi ambao hawajalipa hadi sasa kulipa kodi husika na baada ya muda huo kupita hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Waziri Silaa ameyasema...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi Katavi watakiwa kutokwepa kulipa kodi ya ardhi

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuona namna bora ya kuwapunguzia wananchi Kodi ya ardhi na kodi ya jengo ambapi imekua mzigo kwa wananchi hao kulipa kodi mbili kutokana na serikali kukata fedha kupitia mfumo wa LUKU huku kodi ya ardhi ikitakiwa kulipiwa katika ofisi za...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kuhalalisha rushwa ya trafiki ili walau tuambulie kodi

    Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa, nikamwomba anisamehe akakataa kunisamehe, nikamwambia basi naomba uniandikie faini, akafoka kwa sauti...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuongeza kodi sawa, lakini haya yazingatiwe

    wiki hii Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuunganisha malori kilichopo kigamboni, Dar es salaam ambapo serikali inaonekana kuunga mkono hoja ya wawekezaji kutaka kuongeza kodi kwa malori yanayoingizwa kutoka nje ya nchi. Kimsingi sina pingamizi na kuongezwa kwa kodi hiyo lakini...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
  20. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwepo wa mpango wa huduma ya gari kwa kila kaya kwa msamaha wa kodi

    UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
Back
Top Bottom