kodi

  1. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba imetaka kumliza mtu, tuweni makini

    Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  3. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Makamishna wa Ardhi watakiwa kukutana na Taasisi zinazodaiwa kodi ya pango la Ardhi

    Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula alitoa agizo hilo jana mkoani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

    Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa. Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home). Serikali ya awamu ya 5 imetumia...
  5. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Hivi bado wamachinga hawatakiwi kulipa Kodi?

    Ni takribani mwaka Sasa toka utoaji wa vitambulisho kwa gharama ya 20,000 tu. Na Mhe Raisi kutoa tamko kuwa watu Hawa wamachinga hawatokuwa wakikwata Kodi wakishalipa na kupata 20,000 hiyo. Lakini kwa Sasa TRA na maafisa kata na wa vijiji wanakuja wanadai ushuru, Sasa tunashindwa kuelewa hapa...
  6. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Kodi na mambo ya Biashara au TRA

    Wadau sana, habari zenu? Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi hunikata 5% ya malipo yangu je hii iko sawa? 2. Je, natakiwa kuwa na leseni ya biashara mimi kama mimi...
  7. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania TRA na Kodi ya Majengo (Property Tax) naombeni ufafanuzi katika hili

    Wadau habari za asubuhi, Kwa wataalamu wa kodi (Tax Consultants) ama watumishi wa TRA, kama nina nyumba eneo halijapimwa na mimi binafsi sina Tax Identification Number (TIN) nawezaje kulipa kodi ya majengo? Asanteni
  8. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

    Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa. Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
  9. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Diego Costa ahukumiwa miezi 6 kwa kosa la kukwepa kodi katika uhamisho wake mwaka 2014

    MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, amacho hatakitumikia na faini ya jumla ya Pauni 482,000 baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kodi zaidi ya Pauni 900,000 mwaka 2014. Kwa mujibu wa mahakama, mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania mwenye umri...
  11. mamii90

    JamiiForums Tanzania Bidhaa ziingiazo nchini bila kodi

    Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi. Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
  13. AUGUSTINO CHIWINGA

    JamiiForums Tanzania Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  14. Nazgur

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwenyekiti wa chama kinachotegemea kushika Dola anaposhauri chama chake kukwepa kodi?

    Tumemsikia mbunge Lijualikali akisema kuwa Mbowe alishauri wabunge ambao hawajatumia exemption kwa kununua magari basi watumie mwanya huo kwa kupitisha gari la chama bila kulipa kodi. Namkumbuka jambo hilo lilileta maswali kipindi cha CAG aliyepita lakini hakukuwa na majibu sahihi. Sasa je...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makonda kabla ya kuudanganya umma kuhusu punguzo la bei ya nguo, tueleze kuhusu punguzo la kodi za nyumba kama ulivyoagiza

    Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana . Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
  16. Tumia akili

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...
  17. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Awamu hii ukwepaji kodi bandarini umekua kwa asilimia 742

    Wakati macho na msikio yetu yapo kwenye korona, hebu tuendelee mdogomdogo kujikumbushia ripoti ya Ufiadi wa seikali ya CCM kama ilivyowasilishwa na CAG bungeni na nukuu kutoka kwa Zitto Kabwe. "Kila Mwaka CAG hukagua mizigo inayokwenda nje ya nchi kupitia bandari zetu, kujiridhisha endapo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aanza kutoa msaada wa kodi ya miezi 3 kwa kaya 500

    Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile dhamira yake ya kusaidia kodi ya pango kwa kaya 500 nchini zilizoathirika kiuchumi na janga la mlipuko wa...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tayari tumetoa Tsh. Bilioni 15.49 kwa ajili ya CoronaVirus na tumesamehe kodi kwa baadhi ya vifaa vya kujikinga

    Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
Back
Top Bottom