Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanjakiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa
Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:-
✓ Kutalakiana kwenye ndoa.
✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo.
✓ Kupoteza ajira.
✓...
Kiwanja kikubwa Cha makazi kiko Maeneo ya shirimatunda- moshi mjini
Mwana apolo amekwama. Biashara zake za madini haziendi
Kiwanja kimezungushiwa fensi ya senyenge kiko karibu na shule ya sekondari maji na umeme vipo hapo jirani
Mwenye kiwanja anahitaji hela ya haraka
Bei million 17
Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni.
Sasa chukulia ulikuwa...
habari wadau.
wataalamu wa sheria naomba majibu yenu.
JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200.
amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800.
wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)?
NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU
Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela.
Vipi...
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani.
Kina ukubwa wa Square meter 1080
kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda
Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand
Hatua 28 kwa 20
Bei Tsh 1,500,000
Haipungui
Piga 0759500807
Karibuni
Hichi hapa kwa picha
Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara...
Habari
Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000.
Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe.
Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi. Nimerudi mwisho wa mwezi wa 9 ila ilikuwa sijapata fursa ya kwenda kwenye kiwanja changu.
Jana...
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.
Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.
Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.
Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.
Bei ni milioni 14
Nyaraka Serikali za mitaa.
Huduma zote za kijamii zipo
0762282526
Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.
Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8
Kwa maswali...
Salaam Wakuu
Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.
Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni.
Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
Salama wakuu?
Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo.
-Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo.
Mawasiliano 0769476225
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000.
Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco.
Mawasiliano :+255766042214
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000.
Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco.
Mawasiliano :+255766042214
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.