Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,735
- 6,796
Unipe location nina Jagermeister zako mbiliNiko mitaa ya Kimara nishawaka 😂😂😂 sema najiskia kutoka tu
Hao wadigo wa Tanga mkuu wamakonde hawanaga mambo hayoWale nasikia ukiwa ndo mgeni wanaloweka nguo zote then wanakupa ile misuli ya wazee wa pwani. kinachofuate "Afe kipa afe beki"
Unataka kuniua nini?Unipe location nina Jagermeister zako mbili
Acha woga haufi😂Unataka kuniua nini?
Uko wapi nikufateAcha woga haufi😂
Kitandani kwangu😂Uko wapi nikufate
Kwahio nije kitandani kwako kufata jagomastar zangu?Kitandani kwangu😂
Uko sahihi kabisa,mimi nimetoka kufanya mazoezi Muda si mrefu.Sisi watumiaji wa vyombo leo tumetulia tunawaangalia wavamiaji wanavyohangaika.
😁Nipo zangu Mtwara mkuu na mtoto wangu wa kimakonde