kiwanja

  1. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Lete Milioni 1.2 upate kiwanja Mwanza

    Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja nina bajeti ya 5m

    Nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 5mil maeneo ya kigamboni chanika gongo la mboto
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo unailia kiwanja gani?

    Asalaam ndugu zangu, Hakika natumaini ya kuwa wote nyie ni wazima wa Afya baada ya mihangaiko ya week nzima. Anyways, niende moja kwa moja kwenye mada, Jumapili ya leo tarehe 21/4/2024 una enjoy ukiwa kiwanja gani..? Mimi binafsi nipo uwanja wa nyumbani FUEGO LOUNGE. Kwa ambae yupo hapa...
  4. Bobldi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kina uzwa arusha njiro

    Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 BEI million 12 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
  5. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu, Mapinga karibu na Eplas

    NAUZA KIWANJA CHANGU 📍Site located at Amani Mapinga Near EPLAS RECREATION 🧵Umbali: 👉 5 km kutoka Bunju 👉1.8 km kutoka Bagamoyo Road 👉2 km kutoka Baharini.(PLOT NEAR BEACH) • Kiwanja kinagusa barabara kubwa ya mtaa • Kiwanja kina nyumba ndogo ndani yake yenye vyumba viwili na sebule • Pia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ubungo Riverside - 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  7. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

    Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY. KUMBUKA: Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50 Kuna huduma za kijamii Vuwanja vina hati halali toka serikali ya mtaa. Utapata hati ya makazi Bure. Bei ni 1300000 Tu. WASILIANA NASI SASA KWA 0686338261
  8. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Bahari Beach

    Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa...
  9. Prophet of Nations

    JamiiForums Tanzania Kiwanja linazuwa maeneo ya kifuru Kisopwa

    Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo. Bei milioni 4.5 Kwa mawasiliano zaidi +255 717 040837 / 0767 267 664
  10. Sniper

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pasaka unailia kiwanja gani?

    Asalaam, Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu. Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako. Karibuni.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua Madale

    Habari za mchana ndugu zangu, Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M. Ahsante.
  13. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bahari Beach

    kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami KINAUZWA TSH 400...
  14. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa Mbweni malindi estate

    Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana Mawasiliano 0712464777 whatsap & call...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

    Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake? Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo...
  16. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

    Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion Kipo kingine mbweni...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Sehemu ya Kwanza Kukamilika Disemba 2024

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa kama ifuatavyo: i: Mahali kilipo: Kwa bibi barabara ya Tabata/Segerea mita 20 toka barabara kuu. ii: Eneo: Sqm 1,416 iii. Kina hati: Ndio iv: Bei: 310m v: Mawasiliano: +255 755 321 562 Update: ====== Bei imepungua mpaka 260m. Chukua kiwanja hiki hakina mgogoro wala udalali.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
Back
Top Bottom