Kuna mambo ukiyafikiri hapa duniani Unastaajabu..yaani
Wakati unanunua kiwanja unalipa kodi Wakati unapima kodi
Wakati unaomba kibali cha ujenzi kodi
Wakati unajenga kodi za material
Wakati unajenga kodi za service kuingiza umeme,maji
Tena upo ndani ya nyumba unalipia nyumba na kiwanja? Kweli
Swali langu ardhi ya makaburini nani analipia je na kaburi linalipishwa
Ardhi ni km hewa..huwezi lipia sababu sio man made.....sawa maji ni huduma za service na umeme tunalipa sababu ya miundombinu
Km kodi ya ardhi ni sawa kodi ya jengo ni yakutoa kabsa