kiwanja

  1. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000. Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco. Mawasiliano :+255766042214
  2. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Tanga

    Habari zenu, Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc. Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie. Asanteni.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

    Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mabwepande, Bunju B

    Habari Wadau! Naitaji kiwanja Mabwepande Bunju B. Kama uncho njoo na Offer yako. Wasalaam.
  8. CalifNice

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

    Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake Kina ukubwa sqm 850 Kipo mita 30 kutoka barabara kuu *Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga Umeme ushafika hauhitaji nguzo Madrasa ya Qurani yapo hapohapo Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1) Bei Tsh...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Tegeta wazo-kontena kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa tegeta wazo ,sehemu inaitwa Kontena.500m kutoka barabara kuu Ukubwa:Sqm 2879 Number ya kiwanja 201 Bei :90m Mazungumzo ruksa Hati ipo Njoo DM kwa ambaye yupo serious. Mm
  10. yello masai

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba shule

    Wakuu Kiwanja kinauzwa. Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele. Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa. Ukubwa ni 20 × 20. Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia. Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal. Kama unahitaji, comment hapa...
  11. THOMASSILAA

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Boko Kalifonia

    Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI (40 urefu kwa 22upana) Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki 2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...
  12. Kakakuona

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbweni-kizuri mnoo

    Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee. Umeme upo. Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana Eneo lina utulivu na upepo mzuri. Lipo 100m kutoka...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
  15. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kiunauzwa Madale

    Kiwanja kiunauzwa kipo madale kina uku wa square meter 520 Tsh 9,000,000 kina barua ya manunuzi kutoka serikali ya mtaa huduma zote za kijamii zipo Tuwasilane 0686995586 karibu sana.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
  17. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo kibaha kwa Mathias, Squire meter 400. Kipo msangani juhudi,jirani na stend ya bajaji Bei milioni 3
  18. SaidJuma123

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  19. master of cities

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

    Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi
  20. Charles piere

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
Back
Top Bottom