mzee wa fix
Member
- Jun 27, 2016
- 17
- 10
Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
Bei gani hiki MkuuKipo cha 650 dege kimepimwa na kina bikon ukifel cha 800 nione
Kipo 0717226461 kipo dege sqm 900Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
Kimepimwa na kina hatiPoa naku PM
Umeshauza? kinadai bei gani?Kimepimwa na kina hati
Kwa Dar es salaam sehemu pekee iliyobaki kwa usalama wa kununua viwanja ni kigamboniKwa Kigamboni, kuwa makini usitapeliwe!
Shukran sana🙏, nilipona bhnKwa Kigamboni, kuwa makini usitapeliwe!
Kwa Dar es salaam sehemu pekee iliyobaki kwa usalama wa kununua viwanja ni kigamboni
Sehemu zingine kutapeliwa ni rahisi na ni ngumu kukuta eneo la 10acres wazi sehwmu tofaut na kigamboni ,hiyo ina maana kwamba watu wengi wameanza kununua maeneo juzi juzi tuu kigambon
Ilo jina lako 😊 Linaogopesha Mimi ninacho kiwanja hayo maeneo tajwa Ila nimeogopa Ilo jina usije nipiga FIXMwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
Hiki uliuza?kama kipo kinaendaje?Kipo cha 650 dege kimepimwa na kina bikon ukifel cha 800 nione
Hiki uliuza?kama kipo kinaendaje?
Bei gani hiki Mkuu