kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

    Qur'an Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha? Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
  2. TAJIRI MSOMI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitabu hiki "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"

    Wakuu, Nahitaji kitabu hiki: "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu (Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people cha Dale Carnegie)

    Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki whatsapp 0715278384. Muandishi: Dale Carnegie, 1936. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fund au sponsorship ya ku-print kitabu changu?

    Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha. Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
  5. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimesoma sana hiki kitabu na hii chapter nilikuwa bado sijaielewa, juzi baada ya kusikiliza hotuba fulani ndipo nikaisoma tena na nikaelewa

    Hello bosses and roses... Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa. Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
  6. Programu za PC

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  7. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

    Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO. Sababu. 1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda. (Ndivyo YALIVYO) 2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu. (Ndivyo YALIVYO) 3. Marafiki wengi wanamatatizo...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kuhusisha kitabu cha dini

    Wakuu nimejaribu kufikiri kwa logic ndogo tuu ili kutoa uthibitisho wa mungu kwa kutumia laws of nature tujadili. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga njaa kuna shibe kila kitu kina kinyume chake ,,,sasa hakuna mtu aliyewahi kumouna Mungu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mafunzo 6 ya kujifunza kutoka kwenye kitabu cha Rich Dad, Poor Dad

    Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD. 1. Wote tunahitaji elimu ya fedha. Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo. 2...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua kitabu cha kuboresha mazingira ya kazi, asisitiza wazawa kuandika zaidi

    Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in Tanzania. Kitabu hicho kinahusu masuala ya ajira na masuala ya uhusiano kazini kikiwa na kurasa zaidi ya...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nakataa Duniani sisi siyo wapita njia, tusipuuze Kitabu cha Zaburi na Warumi

    Mungu katuumba sisi wanadamu Kwa akili tena Kwa mfano wake, na hii iko bayana ya kwamba mara kadhaa anatukaimisha majukumu yake, na ametupa uwezo huo sio kwa bahati mbaya. Mungu katuleta hapa duniani kwa kusudi kubwa sana, hapa tulipo tunapoishi kama miungu wenye umungu ndani yetu kila hatua...
  13. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

    Habari wakuu. Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

    Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bi. Titi Katika Kitabu cha Abdul Sykes

    HISTORIA YA BI. TITI KATIKA KITABU CHA ABDUL SYKES 1955 Mikutano ya TANU ya siku za mwanzo ilikuwa ikifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mbele ya Princess Hotel. Kwenye jukwaa lililojengwa kwa miti walikuwa wakikaa wale viongozi wa mstari wa mbele ndani ya TANU - Nyerere rais wa TANU...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Does the Torah Pentateuch or Monoteuch (Je Torati ni vitabu vitano au kitabu kimoja?)

    Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na "teuch" (τευχος) mafundisho au vitabu ama kwa lugha iliyozoeleka ni vitabu vitano vyaTorah au torati.. na...
  17. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha C Language

    Apart na kuagiza nje ya nchi ambapo itachukuwa muda mrefu wa wiki mbili. Nataka kujua wapi ndani ya dar es salaam naweza kupata hiki kitabu kwa ajili ya programming.
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye kitabu cha Oedipus the King, soft copy anisaidie kunitumia

    Hope Mungu ni Mwema kila wakati Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Spare: Kitabu cha Harry kitakachozua balaa Uingereza-2

    Familia ya kifalme ya Uingereza sasa imejiandaa kwa uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na mwana mfalme, Prince Harry, wakionywa kinaweza kuwa bomu kwa Ufalme wa Uingereza, huku mawakili wa Ikulu wakijiweka tayari kusubiri uzinduzi wake uliopangwa kufanyika Januari 10 mwakani. Taarifa ya uzinduzi...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

    Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii. Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
Back
Top Bottom