Natafuta kitabu cha simu ya kifo

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura.

Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya.

Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872.

Asante.
 
Ohhh mkuu kitambo kidogo lakini nishawai ona hiki kitabu kwenye library ya mshua.. Labda nikipata muda nikakuchekie kama bado kipo... Binafsi sikukielewa na ile ari ya kufika hatima.. Walaa sikuwa nayo... Nikaachana nacho.
 
Back
Top Bottom