Msaada wa kupata kitabu cha Michael Shirima, mmiliki wa Precision Air

babuzer

Member
Feb 19, 2021
17
22
Wakuu za weekend? Kwa masikitiko makubwa tumeamka kwa kupokea taarifa za msiba wa Michael Shirima, founder wa Precision Air. Ikani sukuma kutaka kupata kitabu chake alicho andika wakati wa uhai wake kinachoitwa "On my father's wings"

Kama kuna mtu anacho akitume huku tuweze kusoma sote ambao hatu kupata kukisoma mwaka jana.

Pia soma: TANZIA - Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia
 
Back
Top Bottom