Maneno ya kitabu "Confessions of an economic hitman" yametimia nchini mwetu.

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,259
"Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku tutaishiwa vya "Kuuza." Tufanyaje kabla hilo halijatukuta?

1686239615622.png
 
Back
Top Bottom