Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara kumi kumi, lakini nimeshindwa kabisa kuelewa jamaa anaongea nini!
Sasa kama kuna anayeelewa, please...