Usiyoyafahamu kuhusu utoko (normal vaginal discharge)

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
Wacha leo niseme juu ya hii kitu

1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa tu) mlivyoaminishwa kuwa ni uchafu si uchafu, unapotoka nje kwenye chupi hapo ni uchafu lakini ukiwa uko ndani kwenye ajili yake si uchafu.

Nitatoa mfano ndani ya tumbo lako kuna utumbo wenye kupitisha masalia the minute yanatoka kwenye haja hapo tunasafisha ni uchafu, mbona hujikamui utumbo ukasema unatembea na uchafu.

Pili Masikio mdomo pua hutoa uchafu lakini mbona hujikamui ni unasubiri mpaka utoke kwa kuuhisi au kuona?

Kwa nini mnang’ang’ania kuvuruga asili ya uke, mnajua madhara yake?

2. Ukiingiza uume ukatoka na hivyo vitu vyeupe jua mke/ mpenzi wako ana muda kiasi hajafanya hilo tendo.

Mimi ni mwanamke najua ninachozungumza. Uke ukitumika leo na kesho na kuendelea hukuti hiyo kitu.

Kwa maana nyingine mnawasaidia wenza wenu (wale wasio waaminifu) kuiondoa hii alama kizembe sana poleni😀😀😀wanawake nisamehe nimetoka siri ya kambi leo.

3. Utoko asili hauna madhara kwa mwanamme na hauna harufu mbaya ya kukera, ukikutana na harufu mbaya mpeleke mwenzio apate matibabu ni mgonjwa, nukta.

4. Utoko ni afya ya uke ni maumbile alivyotuumba Mungu, na kila alichoumba Mungu ni chema na kupendeza acheni mbwembwe za kusokomeza sijui magadi, ndimu, vidole, vistick, kuchomelea udi n.k.

Uke na uheshimiwe uwe asili. Uke ni zawadi asili tuliyopewa wanawake🤗🤗. Uke wake uume vingine ni matumizi mabaya ya uke asili wa mwanamke!!

5. Utoko si uchafu ukiwa ndani ya uke. Nasisitiza mpaka utoke hapo nje mahali tu naona na kushika na kunusa hapo ndio uchafu.
NIMEMALIZA!

MCHANGO WA MDAU:
Upo sawa. Kuna aina nyingi za ute.

UTE MWEUPE.(white)
Huu ni ute wa kawaida kutoka kwa mwanamke hasa katika kipindi cha hedhi lakini utakapokuwa mzito kiasi na wenye kufanana na mtindi,huu ndio anaosemea mtoa mada, ila ukiambatana na maumivu ni dalili ya maambukizi (yeast infection) Matibabu baada ya uchunguzi yanahitajika

UTE WA MAJIMAJI.(clear waterly)
Ute wa majimaji ni ute unaohitajika zaidi kwa mwanamke, ute unaofanya uke usiwe mkamvu, ute huu mwanamke anapaswa kuhakikisha anakuwa nao hasa kwenye tendo la ndoa, unasaidia kulinda manii na kuzisafirisha, unaleta uwezekano mkubwa wa mimba kutunga.Ute unaoshiria kwamba upo kwenye kipindi cha kuangua mayai(Ovulation) ukiwa nao wala hauna shida wala tatizo.

UTE WA NJANO.( yellow or greenish)
Ute huu si salama unapomtoka mwanamke, ni ute unaoshiria maambukizi ya bakteria pamoja na magonjwa ya zinaa, hutoa harufu isiyopendeza unaweza ukaambatana na ukijani ndani yake.

UTE WA KAHAWIA. (brown)
Ute huu humtoka mwanamke pindi anapomaliza hedhi yake, husafisha uke baada ya hedhi, unaweza kuambatana na damu damu kiasi lakini unaweza kutokwa na ute huu katikati ya hedhi yako au kipindi cha mwanzo cha ujauzito.
Wenye mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika huweza kusababisha kutokwa na ute huu, pindi unapotokwa zaidi na ute huu inaweza kuwa ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi. ni vyema kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 
5.Utoko si uchafu ukiwa ndani ya uke nasisitiza, mpaka utoke hapo nje mahali tu naona na kushika na kunusa hapo ndio uchafu.
NIMEMALIZA!
Sorry madam kwani huu utoko ndio wanaita creampie wazungu au..!!!!!...maana mi demu wangu nae anatoa kitu kama ujiuji mweupe lakini hauna harufu yoyote..sometimes nikichocha sana inakuwa kama povupovu...lakini napata utamu tu
 
It is! yeah
Waswahili eti wanaita uchafu😀😀😀😀
Mara ya kwanza nilikuwa nashangaa sana but siku hizi naona ni kitu cha kawaida...ilikuwa kila nikizamisha mboo kwente K yake nikiichomoa inatoka kama imepakwa uji au whitedent ama Cologate.... yaani :):):)
 
Yani juzi nimekula li shangazi(li Dada kubwa kwa umri kidogo)aisee hamna hata kautokoo!dushe limetoka kama limepakwa mafuta hata kauchafu!Bidada atakuwa anasuguliwa sn, Maana si kwa urahisi ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, lakini people have been brainwashed with the so called Kungwis wasio hata na elimu, pengine naye ni muathirika wao alitumbukiza vidole kutoa before
 
Point no.2 ......Kipururu
Sema sometimes U.T.I pia hutengeneza kitu kama utoko, hivyo ni vyema pia kujiridhisha kiafya kuwa huu ni utoko halisi au utoko maradhi.
Utajua kwa tofauti ya harufu, na nimeandika hapo mpeleke hosp ni mgonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom