kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. Mhdiwani

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Miaka 5 iliopita nilipata tamaa ya kutafuta rupia lkn wkt naendelea nikaskia kuhusu mekyuri. Bei ya mekyuri ilinishtua sana ilinipa tamaa ya kwenda kutafuta Mekyuri inapatikana kwenye mapango ya nyoka wakubwa ili uipate ni lzm nyoka atoke nje Nilikutana na mzee mmoja huko milima ya Usambara...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

    Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia. F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Uzalendo na Kisa cha nguruwe kula watoto wake

    Kuna Kipindi nilifuga nguruwe, yule nguruwe akapata watoto 7. Sasa cha kushangaza siku ya pili yake jioni nakuta vitoto 4, nikauliza ni nini kimetokea, kijana akasema na yeye anashangaa. Nikampigia simu rafiki yangu kuuliza akasema huenda hakupewa chakula cha kushiba hivyo sababu ya njaa kala...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania iweje ndege ya Uganda ichelewe masaa mengi kisa mafuta kwenye uwanja wenu wa kimataifa? Mjitafakari kwa kweli

    Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku. Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE...
  6. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha Mapenzi...

    Naamini Jumapili iko salama kwa kila member na Kama hali haipo hivyo,ni changamoto za maisha tu,amini mambo yatakuwa sawa. Kisa changu ni kama ifuatavyo hapa chini: Mwaka 2015 nilihamia mkoa mmoja huko nyanda za juu kusini nikiwa kijana ambaye sikuwa na mahusiano ya kudumu. Katika pitapita...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United. Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea...
  9. Brigadier Isaac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

    Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu:
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, unajua kero hii huduma ya kuunganishiwa maji?

    Habari za Asubuhi waungwana, Kama kichwa cha habari kisemavyo. Serikali imekuwa ikijipambanua kuongeza kasi ya upatikaji wa maji kwa wananchi wake. Lakini mpaka leo kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo katika maeneo kadhaa ya mjin kwa kisingizio cha uhaba wa vifaa vya...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa David Musyoka ni pure horror movie!

    David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County. Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani. Mara akiwa barabarani anaendesha akaona watu wanashangaa ndege tai kashika nyoka. Yule ndege tai akamwachia nyoka...
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtu aliyebeba punda na Watanzania

    Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
  14. Carleen

    JamiiForums Tanzania Hivi tutawapoteza watu wetu wa karibu mpaka lini kisa Pesa.!?

    Hi guys, Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA, Unazungumza na mtu...
  15. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona kukaa tu bila kucheza mechi kisa mashindano ya kimataifa tunashusha viwango vya wachezaji. Mimi ni...
  17. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na mtu niliyedhani ni mhitaji kumbe ni tapeli

    Habari ndugu wapendwa na natumaini sote tu wazima wa afya na walio na mitihani ya maradhi au changamoto mbali mbali Mungu awapiganie ili sote tuishi kwa raha na kukiri utukufu wa Mungu. Nimeamua kuileta habari hii ambayo ilinitokea mimi mwenyewe ili iwe kama funzo kwa wengine wenye mioyo ya...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

    Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane? Eti mnaita huyo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaivimbia TFF kisa kanuni imekiukwa. Mmejipanga kuzifuata kanuni zote au ni mihemko tu?

    TFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa. Lakini ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba. Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
Back
Top Bottom