Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.

Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna njemba hata sijui ilikotokea, kwa hatua za kiusalama akili ilifunguka nikaongeza mwendo ila nikienda kushoto nae anakuja kushoto nikienda kulia nae ni kulia anakuja kwa kuongeza mwendo, mara mbele yangu akatokea mwengine kama anataka anizibe flani hivi.

Nilitoka mbio, sikuruhusu kuwa ndani ya 18 zao maana kwa stori tulizokuwa tukiskia ni kwamba wale vijana ni hatari tupu, nlijidai kama nmesimama flani hivi, akilini nikawa nachora ramani nikimbilie wapi, basi ile nakariba kuwa ndani ya 18 nlitoka spidi nadhani ile siku ndio nlikimbia tangu nizaliwe, wakati nataka nianze kukimbia moja wao alinipiga na kitu kama ubao, nilivyofika geto nilikuwa na kanundu kwa mbali, walinifukuza kidogo ila kwa mbio nilizotoka naona walisanda huku wakinisindikiza na matusi mazito ila nashukuru niliwakwepa.
 
Kanuni zangu za kutembea usiku

1.kutembea kama mm ndo mwizi.....yaan ukikutana na mm nahakikishaww ndo unahama barabara kunihofia
2.kutembea bila vitu vya thaman au pesa ndefu
3.kuvaa viatu vitakavyonisaidia kufunguka (kukimbia ) pale mambo yatakapokuwa siyo mambo
 
Mimi nilipigwa ngwara 😂😂🤸enzi za chuo,njaa za usiku nikajifanya kutoka hostel kwenda kununua chips jomonii woiii mitaa ya bonanza area c Dom... ile ngwara siji isahau asee japo nilitoka mkuku ni Mungu tuu maana walikuwa vijana kama wanne na ndio kipindi ambacho matukio ya mauaji yalikuwa yamepamba moto hasa kwa wanafunzi....lile tukio ni moja wapo lilinifanya niokoke asee maana ukiniuliza nilivukaje nabaki kusema ni Mungu wa mbinguni tuu,daah!!!🙌🙌
 
Nilikuwa naenda chuo kama kipindi hicho. Nilikuwa na burungutu mfuko wa nyuma. Mara nikahsi nimejikwaa kufumba na kufumbua jamaa mmoja kanishika mkono akawa ananitikisa Kwa nguvu akinionyesha buti lake kuwa nimemgonga akidai mguu ule Una Chuma. Jamaa alinitikisa mkono akilalamika Sana kuwa kapata maumivu namii nikakomaa kimwomba samahani.nilitoka hatua kama tano baada ya kuniachia nikashtuka mifuko miepesi fungu la chuo limehama.nilihisi mwili wa baridi na home sikusema nikaenda chuo kinyonge ila nikasort out .pesa niliilipa baada ya kuanza KAZI Kwa alonikopesha.
 
Mwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
 
Mimi nilipigwa ngwara 😂😂🤸enzi za chuo,njaa za usiku nikajifanya kutoka hostel kwenda kununua chips jomonii woiii mitaa ya bonanza area c Dom... ile ngwara siji isahau asee japo nilitoka mkuku ni Mungu tuu maana walikuwa vijana kama wanne na ndio kipindi ambacho matukio ya mauaji yalikuwa yamepamba moto hasa kwa wanafunzi....lile tukio ni moja wapo lilinifanya niokoke asee maana ukiniuliza nilivukaje nabaki kusema ni Mungu wa mbinguni tuu,daah!!!🙌🙌
Mkuu umeelezea kwa ufupi sana. Ikikupendeza ongeza nyama.
 
Kanuni zangu za kutembea usiku

1.kutembea kama mm ndo mwizi.....yaan ukikutana na mm nahakikishaww ndo unahama barabara kunihofia
2.kutembea bila vitu vya thaman au pesa ndefu
3.kuvaa viatu vitakavyonisaidia kufunguka (kukimbia ) pale mambo yatakapokuwa siyo mambo
Hii njia kuna siku tulitumia na mwanangu kupita sehem ya vibaka, tulinunua sigara tukaanza kuvuta uku tunatembea na kupiga story kwa sauti kubwa na matusi kama yote.
Tuliwatisha sana raia wema ila ndo ivo na sisi tulikua tunajilinda 😁😁
 
Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.

Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna njemba hata sijui ilikotokea, kwa hatua za kiusalama akili ilifunguka nikaongeza mwendo ila nikienda kushoto nae anakuja kushoto nikienda kulia nae ni kulia anakuja kwa kuongeza mwendo, mara mbele yangu akatokea mwengine kama anataka anizibe flani hivi.

Nilitoka mbio, sikuruhusu kuwa ndani ya 18 zao maana kwa stori tulizokuwa tukiskia ni kwamba wale vijana ni hatari tupu, nlijidai kama nmesimama flani hivi, akilini nikawa nachora ramani nikimbilie wapi, basi ile nakariba kuwa ndani ya 18 nlitoka spidi nadhani ile siku ndio nlikimbia tangu nizaliwe, wakati nataka nianze kukimbia moja wao alinipiga na kitu kama ubao, nilivyofika geto nilikuwa na kanundu kwa mbali, walinifukuza kidogo ila kwa mbio nilizotoka naona walisanda huku wakinisindikiza na matusi mazito ila nashukuru niliwakwepa.
Sijui ni kwanini kila nikipita maeneo hatarishi kwa Ukabaji na hata nikiwakuta Wakabaji wenyewe huwa hawanikabi. Sijui labda wananihisi nami ni Mwandamizi Mwenzao Kiukabaji au vipi.
 
Mwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
ungewaonesha middle finger
 
Kenge..🤣🤣
 
Mimi nilipigwa ngwara 😂😂🤸enzi za chuo,njaa za usiku nikajifanya kutoka hostel kwenda kununua chips jomonii woiii mitaa ya bonanza area c Dom... ile ngwara siji isahau asee japo nilitoka mkuku ni Mungu tuu maana walikuwa vijana kama wanne na ndio kipindi ambacho matukio ya mauaji yalikuwa yamepamba moto hasa kwa wanafunzi....lile tukio ni moja wapo lilinifanya niokoke asee maana ukiniuliza nilivukaje nabaki kusema ni Mungu wa mbinguni tuu,daah!!!🙌🙌
Kuna kitu hukutoa kweli wewe..😂
 
Mwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
 
Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.

Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna njemba hata sijui ilikotokea, kwa hatua za kiusalama akili ilifunguka nikaongeza mwendo ila nikienda kushoto nae anakuja kushoto nikienda kulia nae ni kulia anakuja kwa kuongeza mwendo, mara mbele yangu akatokea mwengine kama anataka anizibe flani hivi.

Nilitoka mbio, sikuruhusu kuwa ndani ya 18 zao maana kwa stori tulizokuwa tukiskia ni kwamba wale vijana ni hatari tupu, nlijidai kama nmesimama flani hivi, akilini nikawa nachora ramani nikimbilie wapi, basi ile nakariba kuwa ndani ya 18 nlitoka spidi nadhani ile siku ndio nlikimbia tangu nizaliwe, wakati nataka nianze kukimbia moja wao alinipiga na kitu kama ubao, nilivyofika geto nilikuwa na kanundu kwa mbali, walinifukuza kidogo ila kwa mbio nilizotoka naona walisanda huku wakinisindikiza na matusi mazito ila nashukuru niliwakwepa.
Usijisifu una mbio, msifu anayekukimbiza
 
Hahahah
Hii njia kuna siku tulitumia na mwanangu kupita sehem ya vibaka, tulinunua sigara tukaanza kuvuta uku tunatembea na kuoiga story kwa sauti kubwa na matusi kama yote.
Tuliwatisha sana raia wema ila ndo ivo na sisi tulikua tunajilinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom