kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

    Habari zenu Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kisa cha watoto kutoroshwa, baadhi ya wazazi wakiri kuridhia watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Siku mbili baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kuwarejesha watoto 11, waliokuwa wanadaiwa kuwa walitoroshwa na kuuzwa kwa wafugaji wilayani Mbarali, ili watumike kuchunga mifugo, baadhi ya wazazi wa watoto hao wameibuka na kudai waliridhia watoto wao kwenda kufanya kazi hiyo. ===== Septemba...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mamlaka yakosolewa baada ya kisa cha utekaji nyara wa Wanafunzi 70

    Jitihada zinaendelea kujaribu kuwaachilia zaidi ya wanafunzi 70 wa shule ya upili waliotekwa nyara Jumatano katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Kisa hiki cha utekaji nyara wa wanafunzi 73 kutoka shule ya upili ya Kaya na watu wenye silaha ni miongoni mwa mlolongo wa visa...
  5. Cvez

    JamiiForums Tanzania Leo nimemuona Nadir Haroub Cannavaro nikakumbuka kisa chake cha jezi na Eto'o

    Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona kwenye benchi la Stars. Ilikua hivi mara baada ya mchezo kati ya Tanzania na Cameroon kumalizika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
  7. Glory Tausi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Aisha

    AISHA Aisha anajitizama kwa chati kwenye kioo kidogo kilichoko chumbani kwake, anashusha pumzi hafifu kwa anachokiona mbele yake. "Kweli nimechunda Aisha mimi," Anakiri kimyakimya. Tayari uso ulikuwa umekomaa mithili yaajuza aliyemaliza miongo kadhaa ilhali umri wake ni miaka 24 tu. Binti...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  9. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Ethiopia: Taifa vitani mbioni kugawanyika, kisa kiongozi kukataa ushauri

    Watsup comrades, Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena. Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
  10. To yeye

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

    Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao. Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule. Akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima. Kumbe msukuma naye kaenda kimalengo...
  11. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Unamtwangaje mumeo shoka la kichwa kisa amekusaliti?

    Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii? Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo? Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia hatua wanaume tumegeuzwa kuni kweli! Ungana na Mimi kupinga vitendo vya kinyama tunavyofanyiwa na...
  12. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kwa kisa hiki, nitaendelea kuyapinga mapenzi ya chuo

    Kabla ya kumaliza chuo kuna manzi nilimvuta geto nikampa roles za mke na ahadi kibao kuwa tutaoana akimaliza chuo acha Mimi nitangulie nikatengeneze life mtaani. Nilimvuta geto karibia miezi mitatu ya mwisho mpaka tukafanya UE. [emoji2]Cha kustaajabisha nimefika mtaani mkoa X na yeye yupo...
  13. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Wajumbe sikieni hii. Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro. Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana. Alikua mchapa kazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za mashtaka na kisa cha muuza pikipiki

    Jamani mwenzenu nusuru yanipate hapa Bongo. Nilikutana na dalali aliyekuwa ananiunganishia na muuza pikipiki maeneo ya Mikocheni. Alidai kuwa pikipiki atakayoniuzia ni mpya, nzuri na haijatumika sana, na bei yake ni sawa na bure na ina vibali vyote. Nilikuwa na uhitaji nayo kwa kweli, hivyo...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
  16. Kennedy

    JamiiForums Tanzania TANGA: Wanafunzi wakimbia shule kisa hofu ya kuchanjwa

    Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana wataambukiza...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto adaiwa kumuua mama yake mzazi kisa mali

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  18. Mhdiwani

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Miaka 5 iliopita nilipata tamaa ya kutafuta rupia lkn wkt naendelea nikaskia kuhusu mekyuri. Bei ya mekyuri ilinishtua sana ilinipa tamaa ya kwenda kutafuta Mekyuri inapatikana kwenye mapango ya nyoka wakubwa ili uipate ni lzm nyoka atoke nje Nilikutana na mzee mmoja huko milima ya Usambara...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

    Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia. F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake...
Back
Top Bottom