The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :
Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me.
Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.
Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia...
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...
SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA.
Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi.
Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa...
Habari zenu
Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu
Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa
Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa...
Siku mbili baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kuwarejesha watoto 11, waliokuwa wanadaiwa kuwa walitoroshwa na kuuzwa kwa wafugaji wilayani Mbarali, ili watumike kuchunga mifugo, baadhi ya wazazi wa watoto hao wameibuka na kudai waliridhia watoto wao kwenda kufanya kazi hiyo.
=====
Septemba...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
Jitihada zinaendelea kujaribu kuwaachilia zaidi ya wanafunzi 70 wa shule ya upili waliotekwa nyara Jumatano katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Kisa hiki cha utekaji nyara wa wanafunzi 73 kutoka shule ya upili ya Kaya na watu wenye silaha ni miongoni mwa mlolongo wa visa...
Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona kwenye benchi la Stars.
Ilikua hivi mara baada ya mchezo kati ya Tanzania na Cameroon kumalizika...
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
AISHA
Aisha anajitizama kwa chati kwenye kioo kidogo kilichoko chumbani kwake, anashusha pumzi hafifu kwa anachokiona mbele yake.
"Kweli nimechunda Aisha mimi," Anakiri kimyakimya.
Tayari uso ulikuwa umekomaa mithili yaajuza aliyemaliza miongo kadhaa ilhali umri wake ni miaka 24 tu. Binti...
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli.
Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
Watsup comrades,
Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena.
Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule. Akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima. Kumbe msukuma naye kaenda kimalengo...
Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii?
Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo?
Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia hatua wanaume tumegeuzwa kuni kweli!
Ungana na Mimi kupinga vitendo vya kinyama tunavyofanyiwa na...
Kabla ya kumaliza chuo kuna manzi nilimvuta geto nikampa roles za mke na ahadi kibao kuwa tutaoana akimaliza chuo acha Mimi nitangulie nikatengeneze life mtaani.
Nilimvuta geto karibia miezi mitatu ya mwisho mpaka tukafanya UE.
[emoji2]Cha kustaajabisha nimefika mtaani mkoa X na yeye yupo...
Wajumbe sikieni hii.
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi...
Jamani mwenzenu nusuru yanipate hapa Bongo. Nilikutana na dalali aliyekuwa ananiunganishia na muuza pikipiki maeneo ya Mikocheni. Alidai kuwa pikipiki atakayoniuzia ni mpya, nzuri na haijatumika sana, na bei yake ni sawa na bure na ina vibali vyote.
Nilikuwa na uhitaji nayo kwa kweli, hivyo...
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.
Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali
Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson
Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana
wataambukiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.